Lady Jaydee - Binti paroles de chanson

paroles de chanson Binti - Lady Jaydee



Binti amka acha huzunika
Binti amka acha sikitika
Binti amka jikaze anza mwendo
Binti u mrembo na bado wang'ara
Binti amka acha huzunika
Binti amka acha sikitika
Binti amka jikaze anza mwendo
Binti u mrembo na bado wang'ara
Kama uko shule vitabu ni juhudi ongeza
Kama mwajiriwa hakikisha cheo umepanda
Kama biashara ongea vizuri na wateja kamwe usikubali mtu akukatishe tamaa
Binti amka acha huzunika
Binti amka acha sikitika
Binti amka jikaze anza mwendo
Binti u mrembo na bado wang'ara(sana aaa)
Unadiliki kusema huwezi ishi bila yeye miaka iliyopita hukumjua ni nani yeyeee
Mbona uliishi na umekuwa mkubwa sasa
Iweje akuzuge ili maisha yakuchanganye
(Ohhh ohh eeee eee)
Binti amka acha huzunika
Binti amka acha sikitika
Binti amka jikaze anza mwendo
Binti u mrembo na bado wang'ara
Binti imara siku zote ni shujaa
Kila utendalo maishani utafanikiwa
Achana majungu usisikie wasemayo
Piga moyo konde mwisho wa safari utafika
(Maisha hayataki papala tulia uone nini cha kufanya na nini cha kuacha)
Binti amka acha huzunika
Binti amka acha sikitika
Binti amka jikaze anza mwendo
Binti u mrembo na bado wang'ara
Binti amka acha huzunika
Binti amka acha sikitika
Binti amka jikaze anza mwendo
Binti u mrembo na bado wang'ara
Wow wow ohhh
Binti amka acha huzunika
Binti amka acha sikitika
Binti amka jikaze anza mwendo
Binti u mrembo na bado wang'ara
Binti amka acha huzunika
Binti amka acha sikitika
Binti amka jikaze anza mwendo
Binti u mrembo na bado wang'ara
Binti amka acha huzunika
Binti amka acha sikitika
Binti amka jikaze anza mwendo
Binti u mrembo na bado wang'ara
End...



Writer(s): Lady Jaydee


Lady Jaydee - Binti
Album Binti
date de sortie
16-11-2012




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.