paroles de chanson Usiusemee Moyo - Lady Jaydee
Umepika
chakula
huli,
huoni
chapoa?
Umpweke,
mwenye
moyo
wa
duni,
twakuita
soledad
Kula
dada
kwani
huyo
haji,
eti
yuko
na
washikaji
Na
akirudi
matokeo
yake
ugomvi
hauishi
Uko
alipo
mbali
na
upeo
wa
macho
yako
Atafanya
baya
atakalo
bila
idhini
yako
Unangoja
na
kusubiri,
utasubiri
sana
Hatokeo
kwako
machoni
hutomuona
mwenzio
Uko
na
rafiki
zako,
kwako
nyumbani
kitako
Mkipeana
michapo,
huku
mkicheka
na
vicheko
oh
Wawapa
habari
zako,
jinsi
bwana
anavyokutenda
Hutojua
moyo
wake,
kwani
ni
vigumu
kufungua
moyo
Usijigambe
ye
akupenda
Hujui
akitoka
ni
nini
afanyalo
kwako
We
wampenda
Katu
usiusemee
moyo
wa
mwenzi
wako
uh
woo
Mmelala
ni
usiku
sana,
usiku
wa
manane
Akili
yake
kumbe
yamuwaza
akiwa
na
mwingine
Milio
ya
simu
na
ujumbe
mfupi
vinazidi
kwa
sana
Ukimuuliza
bwana
kulikoni
utaambiwa
ni
story
Nao
moyo
wako
punde,
unaanza
kwenda
mbio
Mara
usiku
akuage
kuwa
anakwenda
kutukio
Muulize
ni
wapi
pande,
hatokujibu
mwenzio
Mara
na
siku
zingine
simu
yake
iko
bize
nusu
saa
Usijigambe
ye
akupenda
Hujui
akitoka
ni
nini
afanyalo
kwako
We
wampenda
Katu
usiusemee
moyo
wa
mwenzi
wako
uh
woo
Angeujali
moyo
wako,
asingekuumiza
huyo
Angeacha
atendayo
ili
wewe
upate
faraja
ah
Lakini
umuulizapo,
juu
yeye
hukujia
Hathamini
chozi
lako,
na
wala
halijali
hilo
lako
pendo
Usijigambe
ye
akupenda
Hujui
akitoka
ni
nini
afanyalo
kwako
We
wampenda
Katu
usiusemee
moyo
wa
mwenzi
wako
uh
woo
Usijigambe
ye
akupenda
Hujui
akitoka
ni
nini
afanyalo
kwako
We
wampenda
Katu
usiusemee
moyo
wa
mwenzi
wako
uh
woo
1 Machozi
2 Distance
3 Wangu
4 Siri Yangu
5 Siku Hazigandi
6 Sirimba
7 Yeye
8 Kifungoni
9 Teja (Afropop Version)
10 Nitafanya
11 Siwema
12 Machozi Ya Furaha
13 Mimi Ni Mimi
14 Usiusemee Moyo
15 Consolation
16 Zaina
17 Penzi la Milele
18 Ne Syum Problema
19 Moto
20 Natamani Kuwa Malaika
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.