Lady Jaydee - Natamani Kuwa Malaika paroles de chanson

paroles de chanson Natamani Kuwa Malaika - Lady Jaydee



Natamani kuwa malaika
Nataman tena kurudi nyuma
Nataman kuwa kama zaman
Nataman kuwa kama mtoto
Moyo wangu mweupe kama theluji
Siyawazi Mabaya wala chuki duniani
Tabasamu hata kwa adui, kuishi bila kulipa bill
Nikilia nabembelezwa sio sasa napezwa
Nikichoka tembea nabebwa
Kila kitu mimi nafanyiwa, malaika. Mtoto ni malaika
Nataman kuwa malaika
Nataman tena kurudi nyuma
Nataman kuwa kama zaman
Nataman kuwa kama mtoto
Kama mimi nisingekuwa mkubwa
Katu nisingejua ada za dunia
Majukumu nisingefikiria, kulala muda ninaoamua
Stress zisingenifika, majaribu nisingepata
Machungu nisingehisia kama hii leo nisingekuwa
Nataman kuwa Malaika ooooh
Natamani kuwa malaika
Nataman tena kurudi nyuma
Nataman kuwa kama zaman
Nataman kuwa kama mtoto
Oooooh
Nasema ukubwa raha lakini mzigo mkubwa
Ukubwa jalala
Kila unavyozidi kuwa manyang'au yakutamania
Kutamania kukulavua
Nataman kuwa kuwa malaika (ooooh nataman)
Natamani tena kurudi nyuma (sana sana)
Nataman kuwa kama zaman (zamani oooh)
Nataman kuwa kama mtoto (mtoto mtoto)



Writer(s): Judith Wambura Mbibo, Lady Jaydee


Lady Jaydee - Ya 5. The Best of Lady Jaydee
Album Ya 5. The Best of Lady Jaydee
date de sortie
09-03-2012




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.