paroles de chanson Nitafanya - Lady Jaydee feat. Kidum
Ikiwa
umeamua
kunitoroka
Ikiwa
unahisi
kwamba
hujisikii
nami
tena
Na
mbona
imekuwa
ngumu
kunidokeza
Naona
ni
bora
nilie
leo
badala
ya
kesho
Kupenda
usipendwe
Ni
kama
kujitia
kitanzi
Nitachimba
na
sururu
Kwa
ardhi
nikitafuta
penzi
lako
Ni
heri
nipigwe
fimbo
kwa
mwili
Sababu
nitajikuna
ama
najikanda
na
maji
moto
Maumivu
ya
penzi,
mtu
hajikuni
Wala
hajikandi
na
maji
Na
hakuna
upasuaji
oh
Kama
kuna
kosa
nimewahi
fanya.nieleze
Kama
kuna
jinsi
tunaweza
leta
upatanishi
Na
kama
kuna
kitendo
ningeweza
tenda,
nieleze
(Nitafanya
(fanya)
Nitatenda
(tenda)×4)
Kweli
hukumbuki
uliyoyafanya
Ni
kweli
unakumbuka
tulipotoka
Sisemi
habari
zozote
za
kusikia
Bali
kwa
ushahidi
niliouona
Msamaha
mara
ngapi
umeshaomba
na
bado
Je
ni
makosa
mangapi,
niliyoyafumbia
macho
Mpaka
leo
nahisi
kufika
kikomo
Maumivu
yanazidi
ndani
ya
moyo
Sitaki
kwenda
mbali
kwani
upo
moyoni
Nikusamehe
mimi
mara
ngapi
we
Nieleze,
mpenzi
mara
ngapi?
Unataka
nikusamehe
mara
ngapi
(unisamehe)
Ungependa
nikuvumilie
mara
ngapi(ningependa
univumilie)
Je
wewe,
nikulilie
mara
ngapi?
Sitoweza(utaweza
we)
Nimechoka(Usichoke)
Nimeshindwa
(Usishindwe)
Naondoka
leooo
Ukihesabu
ni
mara
ngapi
umenisamehe
ni
kama
kuhesabu
ni
mara
ngapi
mtoto
kaharibu
nepi
Usichoke,
usiondoke,
usilie
niko
hapa
kukulinda
Kama
kuna
kosa
nimewahi
fanya,
nieleze
Na
kama
kuna
jinsi
tunaweza
leta,
upatanishi
Na
kama
kuna
kitendo
ningeweza
tenda
Nitafanya.nitatenda...
Unataka
nikusamehe
mara
ngapi
Ungependa
nikuvumilie
mara
ngapi
Je
wewe
nikulilie
mara
ngapi
Sitoweza.nimeshindwa...
nimechoka.naondoka
leoo
1 Machozi
2 Distance
3 Wangu
4 Siri Yangu
5 Siku Hazigandi
6 Sirimba
7 Yeye
8 Kifungoni
9 Teja (Afropop Version)
10 Nitafanya
11 Siwema
12 Machozi Ya Furaha
13 Mimi Ni Mimi
14 Usiusemee Moyo
15 Consolation
16 Zaina
17 Penzi la Milele
18 Ne Syum Problema
19 Moto
20 Natamani Kuwa Malaika
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.