Lady Jaydee - Machozi Ya Furaha paroles de chanson

paroles de chanson Machozi Ya Furaha - Lady Jaydee



Nakupenda mpenzi wa maisha, maisha aaah
Na mimi moyoni nina furaha tele moyoni
Kuwa wako mwenzi wa maisha katu hayatoisha
Toka moyoni mwangu, nimekuchagua wee uwe wangu
Vipingamizi vingi waliweka
Asante MOLA tumevuka, tu pamoja sasa
Wenye kusema waache waseme, nakupenda, wanipenda
Furaha twaidumisha nitakuwa wako maisha, we u wangu kabisa
Siku yangu imefika, imefika aaah na mimi moyoni nina furaha tele moyoni
Kukupata mwenzi wa maisha
Nami naahidi, nitakupa vyote
Tangu sasa hata milele eeeh eeh
Siku yangu imefika, imefika aaah aah
Na mimi moyoni, nina furaha tele moyoni
Furaha, furaha, furaha tele moyoni
Furaha, furaha, furaha tele moyoni
Mmmhhhh... Uuuhh... Ulala lala lala lalala oooh... uuuuh woh woh woh... iiihh iiiiih iiih
Uuuuuuuh huh... Ulala lala lalaa aaah uuuh aahh oooh la lala lala
Natoa Machozi ya furaha, furaha, furaha
Kwani penzi letu, limekwisha ota mizizi
Umekuwa wangu la azizi
Nami naamini, tutaishi sote, tutapita na pande zote
Nimekuwa wako mahabuba
Kaeni kando acheni pupa tutapita kote
Pande zote mahali pote
Wenye kusema na waseme
Nakupenda, wanipenda
Umekuwa wangu wa maisha, wa maisha aah maisha
Mmmhhh... Uuuh Uhhh Ulala lala lala lala laa
Ninalo penzi la milele moyoni mwangu
Ninatoa machozi ya furaha aaah
Yeeeh nina furaha, ninalo penzi la milele
Uuuh Aaaah... Mhhhhhhhh



Writer(s): Lady Jaydee


Lady Jaydee - Ya 5. The Best of Lady Jaydee
Album Ya 5. The Best of Lady Jaydee
date de sortie
09-03-2012




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.