Lady Jaydee - Machozi paroles de chanson

paroles de chanson Machozi - Lady Jaydee




Nimekaa nafikiri badae ninagundua
Kwamba hutorudi tena sitokuwa nawe tena
Lakini najipa moyo nione kama ni ndoto
Kwani matone ya machozi nizaidi ya milioni
Machungu tele moyoni kweli nimejawa hofu
Sina tofauti na mpofu hata njia siioni
Nani wakunifuta machozi moyoni nina majonzi
Sina tofauti na mpofu kwani hata njia siioniii



Writer(s): Lady Jaydee



Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.