paroles de chanson Nipende (feat. Nyoshi El Saadat) - Lady Jaydee
Mapenzi
hayachagui
kabila
wala
dini
Hayachagui
kimo
wala
rangi
Hayachagui
taifa
Na
yalikuwepo
toka
zamani
Mmmh
kupendwa
furaha
kuchukiwa
karaha
Watu
wanashangaa
kupendwa
na
huyu
baba
Waliochezea
mapenzi
leo
wanajuta
Tulia
na
mimi
nikupe
nini?
Nikupe
nini
lady
jaydee
Nikupe
mahaba
matamu
tamu
Eeh
matamu
tamu
Unanipenda
na
nakupenda
Sijakataa
tamaa
Ushiti
walonitenda
hapa
ninakomaa
lady
Komaa,
achana
nao,
nakomaa
na
wewe
baby
Hebu
nipende
we
darling
(Nipende)
Tuwarushe
wapambe
we
(Tuwarushe)
Unipende
we
darling
(Nipende)
Tuwarushe
wapambe
we
(Tuwarushe)
Wanaona
gere
kuku
wengi
tusimwage
mchele
Wanatumia
ndele
kutuvuruga
hawatuwezi
Mi
mgonjwa
njoo
dakitari
Chunga
wasijewakakuiba
hali
sio
shwari
Hebu
nipende
we
darling
(Nipende)
Tuwarushe
wapambe
we
(Tuwarushe)
Unipende
we
darling
(Nipende)
Tuwarushe
wapambe
we
(Tuwarushe)
Usicheze
cheze
tu
Cheza,
cheza
kwa
style
Usiruke
ruke
tu,
aaah
Usicheze
cheze
tu
Cheza,
cheza
kwa
style
Usiruke
ruke
tu
Angalia
usimkanyage
mwenzio
1 Good Vibes
2 Lololo (feat. Domokaya)
3 Baby Love
4 Don't Go (feat. Niniola)
5 Tufurahi
6 Chorus
7 Kupendwa Raha (feat. Mr Blue)
8 Dala Dala
9 Nyumbani
10 Kiwango (feat. Bodea)
11 Drain Me
12 Don't Give Up On Me
13 Side Chick
14 Tangu Mwanzo (feat. Belle 9)
15 I Love Myself
16 Na Iwe (feat. Maunda Zorro)
17 Nipende (feat. Nyoshi El Saadat)
18 Mbinafsi
19 I Miss You
20 Harusi (feat. Mandojo & Domokaya)
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.