Lady Jaydee - Tufurahi paroles de chanson

paroles de chanson Tufurahi - Lady Jaydee



Nimeshachumia juani
Ndani ya kivuli mi sina pesa mkononi
Bishara asubuhi asubuhi mahesabu jioni
Mahesabu ya nini?
Hapa tunatoa tunaweka, waiter
Tunaweka tunatoa, leta bill
Tunaandika tunafuta, tuna eeh
Hapa tunatoa tunaweka, waiter
Tunaweka tunatoa, leta bill
Tunaandika tunafuta, tuna eeh
Tufurahi, tufurahi
Tufurahi sote
Tufurahi, tufurahi
Tufurahi sote
Dunia hii tunapita tu
Hasara roho pesa makaratasi
Heshimu kila mtu
Enjoy your life
Niende wapi nibaki wapi
Naona time bado usiku huu mi silali
Hasira yangu kuzitafuta ili nitumie
Kiboko cha nini acha nikipasue
Hapa tunatoa tunaweka, waiter
Tunaweka tunatoa, leta bill
Tunaandika tunafuta, tuna eeh
Hapa tunatoa tunaweka, waiter
Tunaweka tunatoa, leta bill
Tunaandika tunafuta, tuna eeh
Tufurahi, tufurahi
Tufurahi sote
Tufurahi, tufurahi
Tufurahi sote
Hapa tunatoa tunaweka, waiter
Tunaweka tunatoa, leta bill
Tunaandika tunafuta, tuna eeh
Hapa tunatoa tunaweka, waiter
Tunaweka tunatoa, leta bill
Tunaandika tunafuta, tuna eeh
Tufurahi, tufurahi
Tufurahi sote
Tufurahi, tufurahi
Tufurahi sote



Writer(s): Judith Wambura Mbibo


Lady Jaydee - 20
Album 20
date de sortie
12-02-2021




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.