paroles de chanson Rosella Feat H_art the band - Lady Jaydee
Afraid
to
tell
him
how
she
feels
She
silently
whispers
to
herself
Afraid,
holding
her
breathe,
maybe
he
might
hear
her.
See,
he
doesn't
feel
the
same
way,
Maybe
H_Art
the
Band
Lady
Jay
Dee
Nikaja
kupenda
na
moyo
wangu
wote,
Binti
huyu
aliyenyefanya
nimuote,
Usiku
na
mchana
nikawa
nikama
nimepagawa
Sionekani
popote
nikaja
kutenda
mambo
Mengi
magumu
na
mazito
Ilimradi
niwe
naye
lakini
sasa
ninapotazama
Naona
kwamba
niliachwa
upweke.
Nilikua
na
wingi
wa
mahaba
nilikupenda
kinyama
kukutenda
sikuwaza
Kamba
nikakaza,
lakini
huonekani
mpaka
sasa
Nilikua
na
wingi
wa
mahaba
nilikupenda
kinyama
kukutenda
sikuwaza
Kamba
nikakaza,
lakini
huonekani
mpaka
sasa
Rosela,
mi
najiuliza
Rosela,
Je
umebadilika
Rosela,
nashindwa
kuamua
aaah
×2
Ni
ukweli
niliamua
kuondoka.
Nikidhani
nitapendwa
niendako
Ooh
hakuna
Oh
mi
nilidhani
nitakuta
tofauti
Hio
yote
mpaka
sasa
sijaona
Moyo
waniuma
nikikumbuka
Mambo
mengi
we
ulinikosea
Najiuliza
je
ni
kweli
umebadilika
Na
maumivu
mi
nayarudia
Masikini
nashindwa
amua
Ooh
nashindwaaa
×2
Rosela,
mi
najiuliza
Rosela,
Je
umebadilika
Rosela,
nashindwa
kuamua
aaah
×2
Yani
ilikua
siku
mingi
sana
hatujazungumza
SMS
zangu
hurudishi,
please
call
me
zangu
hunijibu
Simu
hushiki
Na
najua
hiwezi
kua
ni
simu
ulipoteza
Juu
social
media
nimeona
selfie
zako
Na
ile
top
flaini
kali
nilikubuyia
ya
dashiki
Kweli
ni
kukumiss
nimekumiss
tena
sana
Na
najua
umenimiss
pia
unanilenga
tu
juu
tulikosana.
Ego
yako
iko
juu,
ulikuaga
dem
wa
maringo.
Lakini
siteti,
nilikupendaga
tu
ivo
ivo
Na
ni
tangu
unitoke
stress
iko
juu
tu
sana
Sura
imejaza
wrinkles,
kila
time
Najipata
tu
nimekasirikia
vitu
simple
simple
Hata
jokes
na
pimples
nacatch
hawa
wakishow
tu
madimples.
Yani
kosa
walisema
si
kosa,
kosa
nikurudia
kosa,
Na
najua
unajua
ulikosa
but
huwezi
kubali
Umekosea,
nishakuzoea,
ni
sawa
tu
Nishakusamehea
unaact
selfish
But
kuishi
bila
we,
machozi
siwezi
daily,
Kukula
kwa
hoteli,
si
unajua
mi
ni
mlazy.
Malkia,
smile
tamu
crescent
shape
ya
mwezi.
Sipendi
tukikosana
Napenda
tukichora
saba
kwa
saba
love
heart
Si
unajua
nakupenda
tu
kwa
sana
pamoja,
Tembea
Dar,
Kenya,
Moshi,
Arusha
Tunajirusha
rusha,
spending
karibu
dolce,
Gabana
mwanaume
si
unajua
ni
kukazana,
shopping
Maspaghetti,
crop
9months
later
baby
shower
Na
pamper
nimeshika
rada,
latha
First
born
anakaribisha
brother.
Twende
nyumbani
nikuinteoduce
kwa
mother
Mrasta
ameshapata
the
other
Rudi
Nyumbani
Rosela,
mi
najiuliza
Rosela,
Je
umebadilika
Rosela,
nashindwa
kuamua
aaah
×2
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.