Lady Jaydee - Sawa na Wao paroles de chanson

paroles de chanson Sawa na Wao - Lady Jaydee



Je Vous presente: Lady Jaydee
Judith.
Wakichekaa, nacheka, sawa na wao
Ila nahesabu tofauti na hesabu zao
Na walaa, sitokaa niwadharauu
Sijui, wamekumbwa nini kuishi hivyo?
Nakobina na bangoo, na bangoo
Nakoseka na bango, nakolela tee
Nakozala na bangoo, na bangoo
Nakoseka na bango, nakolela tee ii
Nitacheza uuu
Nitaruka aaa
Moyo wangu ufungukeee
Nafsi yangu iridhike eeee
Nitacheza uuu
Nitaruka aaa
Moyo wangu ufungukeee
Nafsi yangu iridhike eeee
Nitaenda kama dunia iendavyoo
Nitatenda kama walimwengu watendavyo
Ila nitarudi na akili zangu timamu
Na hivyo nitaitunza heshima yangu
Nitacheza-cheza nao, cheza nao
Nitacheka-cheka nao, nakolela te
Nitakaa-kaa nao, kaa nao
Nitacheka-cheka nao, nakolela te ii
Nitacheza uuu
Nitaruka aaa
Moyo wangu ufunguke
Nafsi yangu iridhike ee
Nitacheza uuu
Nitaruka aaa
Moyo wangu ufunguke
Nafsi yangu iridhike ee
Mmh, nakokene te
Ndenge mokili ezo kene
Nakokene de ndenge batuba salaka
Nakozonga namayele na ngai pe
Nakoka de respecter na ngai
Aah!
Wakichekaa, nacheka, sawa na wao
Ila nahesabu tofauti na hesabu zao
Na wala, sitokaa niwadharau
Sijui, wamekumbwa nini kuishi hivyo?
Nakobina na bango, na bango
Nakoseka na bango, nakolela te
Nakozala na bango, na bango
Nakoseka na bango, nakolela te
Nitacheza uuu
Nitaruka aaa
Moyo wangu ufunguke
Nafsi yangu iridhike ee
Nitacheza uuu
Nitaruka aaa
Moyo wangu ufunguke
Nafsi yangu iridhike ee
Nitacheza uuu
Nitaruka aaa
Moyo wangu ufunguke
Nafsi yangu iridhike ee
Mon grand producteur, Fancy Fingers
La menegeur, Seve Mosha
Avec Oman Dujudé
Aaaaah
End




Lady Jaydee - Sawa na Wao
Album Sawa na Wao
date de sortie
07-01-2019




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.