paroles de chanson Far Away - Lava Lava , Diamond Platnumz
Oh
baby
si
unajua
nakupenda
Ila
moyo
wangu
mdogo
Usijepanda
ka
basikeli
Oh
baby
penzi
usije
lipepeta
Ukalipa
kisogo,
wakaja
kunikejeli
We
ndo
sweety,
my
sheri
coco
(Sheri
coco)
Utamu
pipi,
mapocho
pocho
(Pocho
pocho)
Kitandani
kwichi
kocho
kocho
(Kocho
kocho)
Raha
na
dhiki
msoto
msoto
(Msoto
msoto)
Eeh
penzi
tuchunge
chunge
asiingie
shetani
Wapigazo
kofi
mbuge
wakaa
barazani
Wenye
domo
tuchunge
Mungu
awalaani
Fitina
zao
watuongee
tukwame
njiani
Usiende
far
(Far
away)
Far
away,
far
(Far
away)
Usiniache
ukaenda
far
(Far
away)
Far
baby,
far
(Far
away)
Ah
hee,
moyo
wangu
mama
(Utayumba
yumba)
Moyo
(Utayumba
yumba)
Mama
moyo
(Utayumba
yumba)
Mwenzako
moyo
(Utayumba
yumba)
Baby
penzi
kitunguu
Usinitoe
machozi
(Machozi)
Ukaniweka
roho
juu
Kuniringia
mapozi
(Mapozi)
Tulifanye
sikukuu
Tulivalie
kitozi
Kisha
tudamshe
Insta
Vipicha
uchokozi
Usinifanye
kuku
wa
kuchora
Siwiki
wala
kutaga
(Kutaga)
Nikasinga
kombolela
Kumbe
mnacheza
kibaba
(Kibaba)
Nami
mwanadamu
kukosea
yangu
kaba
Nisamehe
napokukera
Ndio
siri
ya
mahaba
Yarabi
penzi
nisitiri
(Amen)
Nivyashiriki
nabadili
(Amen)
Ili
visokonyoko
Yasitimie
wanayotabiri
(Amen)
Usiku
nikunje
kunje
nilale
tavani
Kipepeo
nipunge
punge
mambo
sharukani
Kwa
mganga
nikufunge
funge,
ndele
kazikani
Eti
nikuchunge
chunge
mambo
kizamani
Sa
usiende
far
(Far
away)
Far
away,
fararira
(Far
away)
Usiniache
ukaenda
far
(Far
away)
Far
baby,
far
(Far
away)
Ah
hee,
moyo
wangu
mama
(Utayumba
yumba)
Moyo,
moyo
(Utayumba
yumba)
Ah
moyo
(Utayumba
yumba)
Mwenzako
moyo
(Utayumba
yumba)
Hee!
Oneni
wanaona
donge
Wanaona
donge
hao
Wale
macho
kununa
Wanaona
donge
hao
Watazame
wanaona
donge
Wanaona
donge
hao
Wana-
Wanaona
donge
hao
(Ayolizer!)
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.