paroles de chanson Marry You - Linah
Wanasema
nimeparanga,
kukuchagua
We
mwana
kiranga,
nimekomoka
komo
Wakaatia
na
mchanga,
kwenye
kitumbua
Kabisa
wakanicharanga,
wacha
tuwapige
domo
Hawajui,
kwako
napoa
Haujaniboa
Hawajui,
umenipa
natoa
Yale
mambo
ya
moto
moto
Umbali
umenitoa
Nilikuwa
butu
ukaninoa
beiby
Wasubiri
ndoa
Tena
waambie
I
want
to
marry
you
Wale
wakuna
washakunaku
I
want
to
marry
you
Peleka
kadi
uwaambie
I
want
to
marry
you
Kwetu
wamefua
dafu
I
want
to
marry
you
I-I
want
to
marry
you
Marafiki
huku
rumbembe
Tia
block
wana
nuksi
Maneno
yao
ni
vijembe
Penzi
kuliwekea
chuki
Aibu
mpaka
na
vichwa
kuinama
Wakituona
wanaenyeka
enyeka
Wameharibu
ila
penzi
halijazama
Yao
yamegoma
sisi
bado
tunapwata
Hawajui,
kwako
napoa
Haujaniboa
Hawajui,
umenipa
natoa
Yale
mambo
ya
moto
moto
Umbali
umenitoa
Nilikuwa
butu
ukaninoa
beiby
Wasubiri
ndoa
Tena
waambie
I
want
to
marry
you
Wale
wakuna
washakunaku
I
want
to
marry
you
Peleka
kadi
uwaambie
I
want
to
marry
you
Kwetu
wamefua
dafu
I
want
to
marry
you
I-I
want
to
marry
you
You
you
you,
you
you
you
You
you
you
you
I
want
to
marry
you
You
you
you,
you
you
you
You
you
you
you
I
want
to
marry
you
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.