Mabantu - Amina paroles de chanson

paroles de chanson Amina - Mabantu



Asante god kwa kunipa bless
Asante,Asante god kwa kunipa im ready
Nikweli nilidondoka,lkn nashukuru uliniokota
Minyororo ya wanga ya kusota
Uliikata yote ukaniondosha
Ukanivua shida ukanivisha cheo
Ukasema mwanangu mi ndo baba yako leo
Ukanipa chakula cha jana na leo
Ukasema nitakuwa na nipoa apa leo
Ukanivua shida ukanivisha cheo
Ukasema mwanangu mi ndo baba yako leo
Ukanipa chakula cha jana na leo
Ukasema nitakuwa na nipo apa leo
Let me thank you now
Amina eehh amina(baba god ooh)
Amina eehh amina(baba god ooh)
Amina eehh amina(god ooh)
Amina eehh amina(let me thank you now)
Mola jalali,wangu baba
Nilikosa ukanisamahe ukansahau
Na hichi kibali chako baba
Waheshimu wote waliondharau
Kuhangaika kwa jua
Lilikuwa funzo baba
Kwakushukuru kwa dua
Hata nikila ugali dagaa
Asante mungu yako turufu
Nliomba maji ukuyawekea upupu
Nliomba nyama ukunipa panya buku
Kumbolela ukazinga bila butu
Ukanivua shida ukanivisha cheo
Ukasema mwanangu mi ndo baba yako leo
Ukanipa chakula cha jana na leo
Ukasema nitakuwa na nipo apa leo
Let me thank you now
Amina eehh amina(nana amina baba)
Amina eehh amina(baba baba eeehh)
Amina eehh amina(aahhhhhh)
Amina eehh amina
Amina eehh amina(baba aaahhh)
Amina eehh amina(baba aaahhh)
Amina eehh amina(Nashukuru kwa yote)
Amina eehh amina(kwa yote)
Baba god oohh
Baba god oohh
God oohh
Let me thank you now
Baba god oohh
Baba god oohh
God oohh
Let me thank you now
End.



Writer(s): Mabantu Mabantu


Mabantu - Amina
Album Amina
date de sortie
06-05-2019

1 Amina




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.