paroles de chanson Yataniua (feat. Diamond Platnumz) - Mbosso , Diamond Platnumz
(Ni
nini
hiki
mbona
chanizuzua?)
(Nini
hiki
mbona
chanisumbua?)
(Nakaribia
kuzalilika)
(S2kizzy
baby)
(Nakaribia
kuzalilika)
Aliyeumba
mapenzi
hakusema
yana
maumivu
Aliyeumba
mapenzi
hakusema
unaua
wivu
Gharama,
mapenzi
gharama
Utachukia
ndugu,
marafiki,
ugomvi
na
mama
Gharama,
mapenzi
gharama
Na
ni
donda
sugu
halitibiki
ukishazama
Unamuamini
na
kudhani
ndugu
yako
Kumbe
kijini,
ndio
baby
wa
baby
wako
Mapenzi
yataniua
Bora
nitafute
pesa
nianze
jishaua
(niwe
happy
now)
Mi'
mahaba
yataniua
(yata
ni-kill)
Bora
nitafute
pesa
nianze
jishaua
Nikizipata
ni
Mitungi,
mitungi,
mitungi,
mitungi
Mitungi,
mitungi,
mitungi,
mitu-tu
Mitungi,
mitungi,
mitungi,
mitungi
Mitungi,
mitungi,
mitungi,
mitungi
Na
watakoma
aisee,
hili
party
Nyama
choma
ashe,
aje?
Muziki
mangoma
aje?
Vya
Arusha
nivichomaje,
aje?
Watakoma
aisee,
hili
party
Nyama
choma
ashe,
aje?
Muziki
magoma
aje?
Vya
Arusha
nitavi-shh
Nipite
na
kila
mtu
Hadi
we,
hadi
we
Hadi
we,
hadi
wewe
Hadi
we,
hadi
we
Hadi
we,
hadi
wewe
(eh)
Ka'
kupenda
(aku),
kampende
baba
'ako
(ah
baba
'ako)
Si'
unampenda?
Kampende
dada
'ako
(ah
dada
'ako)
Ka'
kupenda,
kampende
baba
'ako
(ah
baba
'ako)
Si'
unampenda?
Kampende
kaka
'ako
(ah
kaka
'ako)
Mapenzi
yataniua
(yata
ni-kill)
Bora
nitafute
pesa
nianze
jishaua
(niwe
happy
now)
Mi'
mahaba
yataniua
(yata
ni-kill)
Bora
nitafute
pesa
nianze
jishaua
Nikizipata
ni
Mitungi,
mitungi,
mitungi,
mitungi
Mitungi,
mitungi,
mitungi,
mitu-tu
Mitungi,
mitungi,
mitungi,
mitungi
Mitungi,
mitungi,
mitungi,
mitungi
(Gharama,
mapenzi
gharama)
(Utachukia
ndugu,
marafiki,
ugomvi
na
mama)
(Gharama,
mapenzi
gharama)
(Na
ni
donda
sugu
halitibiki
ukishazama)
Nipite
na
kila
mtu
Hadi
we,
hadi
we
Hadi
we,
hadi
wewe
Hadi
we,
hadi
we
Hadi
we,
hadi
wewe
(Kamix
lizer)
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.