Mbosso - Huyu Hapa paroles de chanson

paroles de chanson Huyu Hapa - Mbosso



Dar es salama eeh
Moto moto moto
Liwalo na liwe leo namtangaza
Sitaki nishauriwe eeh namtangaza
Huyu hapa huyu
Nampenda
Huyu hapa huyu
Ananipenda
Sijarogwa ndugu yenu
Nimapenzi nayopatiwa
Mwana kanipa kisamvu
Kipapatilo nyama ya njiwaa
Huyu hapa huyu
Nampendaa
Huyu hapa huyu
Ananipenda
Sheba sheba
Sheba sheba
Sheba sheba
Aje jeje jeje
Chuki mkichukia hamtushughulishii
Sizi la masufuria halitakati kwa jiki
Debe tupu ooh debe tupu (acha zako kelele)
Bure wajikaisha sauti (acha zako kelele)
Tandika mkeka ukae utulie (acha zako kelele)
Sisi bado bado (acha zako kelele)
Ooh Huyu hapa huyu
Nampenda
Huyu hapa huyu
Ananipenda
Sa twende tiriri tiriri tiriri
Waonyeshe tiriri ooh baby tiriri
Tiriri tiriri tiriri tiriri tiriri tiriri
Sisemi nae eeh sisemi nae
Sisemi nae eeh sisemi nae
Huyo dunga embe (sisemi nae)
Mkurubii azina (sisemi nae)
U.t.i mwana kaswende (sisemi nae)
Ooh aeeh (sisemi nae)
Alidhani ntadhalilika (sisemi nae)
Nimepata wakuridhika (sisemi nae)
Ooh nishatembeza block (sisemi nae)
Sio hadhi yangu tena (sisemi nae)
Aeeeh aaaeeh
Debe tupu ooh debe tupu (acha zako kelele)



Writer(s): Unknown Writer, Siraju Amani, Mbwana Kilungi


Mbosso - Khan - EP
Album Khan - EP
date de sortie
28-10-2022




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.