paroles de chanson Amepotea - Mbosso
Vipeperushi
vinasambaa
Eti
natafutwa
Nimepotea
wiki
imekataa
Ndugu
wamechachamaa
Wananitafuta
Nimepotea
mwezi
umekata
Kazini
sionekani,
yupo
wapi
huyu
Simuni
sipatikani,
yupo
wapi
huyu
Baba
kaniulizia,
yupo
wapi
huyu
Mama
aishi
kulia,
yupo
wapi
huyu
mimi
Nimezama
katika
kina
kirefu
Cha
bahari
ya
mapenzi
Nimezama
katika
kina
kirefu
Cha
bahari
ya
mapenzi
Sio
ya
Andit
Purre
mwana
Rajab
mlomkuta
Tanga
Sijafanywa
msukule
msipate
tabu
kumaliza
waganga
Amenirudisha
shule
hesabu
maumbo
kupanga
Penzi
la
wasasambule
lenye
protini,
vitamin
na
wanga
Aaaah!
ladha
yake,
si
sukari
Ni
vichenza
na
malimao
Mechi
zake,
huwa
hatari
Ni
chenga
na
mabao
Kazini
sionekani,
yupo
wapi
huyu
Simuni
sipatikani,
yupo
wapi
huyu
Baba
kaniulizia,
yupo
wapi
huyu
Mama
aishi
kulia,
yupo
wapi
huyu
mimi
Nimezama
katika
kina
kirefu
Cha
bahari
ya
mapenzi
Msinitafute,
nimezama
(Msihangaike
katika
kina
kirefu)
Nipo
salama,
(Cha
bahari
ya
mapenzi)
salama,
salama
mimi
Nipo
salama
mimi,
Nipo
salama
mimi
Msinitafute,
Nipo
salama
mimi
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.