Mbosso - Maajab paroles de chanson

paroles de chanson Maajab - Mbosso



Nana na naaa
Naa nana naaa na
Naa nana naa na
Naa naa nana
Moko mokooo
Imara kashikilia, mwache avimbe bichwa
Wallah kanipatia, anastahili sifa
Chumba kizima chanukia, uturi kajifisha
Vidole nasimamia, ukingoni nafikishwa
Ananikosha mwili, kwa maji ya madafu
Yendo kocha na ananifunza kucheza rafu
Anichua tumbo la ngiri, kwa mafuta ya karafuu
Nikichoka ananikanda kwa mabarafu
Maajabu maajabu, penzi lake la ajabu
Maajabu maajabu, mahaba yake ya ajabu
Maajabu maajabu, penzi lake la ajabu
Maajabu maajabu, mahaba yake ya ajabu
Kifuani unipaka harua, mikono tende anazichambua
Anilambaaa aah
Kitandani humwaga maua
Vingine hata chembe sikuwa najua. hanitoa ushamba aah uuuh
Na nitake nini kwake? Niombe nsipewee
Iwe pemba ama chako chake, nichague mwenyewe eeh
Kanipa pombe roho yake, ninywe nilewe eeh
Mambo shega ni mwake mwake, mangaka msewe eeh
Libanikee penzi kama gazeti walisomee,
Tuwa adabishe sangara shombo vibetwe tuwango'ng'e
Ni kila nilishe chapati za alizeti ni none
Tuwafungishe midomo uzi cement tuwashonee
Ananikosha mwili kwa maji ya madafu
Ye ndo kocha na ananifunza kucheza rafu
Anichua tumbo la ngiri, kwa mafuta ya karaafu
Nikichoka ananikanda kwa mabarafu
Maajabu maajabu, penzi lake maajabu
Maajabu maajabu, mahaba yake ya ajabu
Maajabu maajabu, penzi lake la ajabu
Maajabu maajabu, mahaba yake ya ajabu
Ayo laizer
Wasafiii...
Haluwa haluwa, hunipa vitamu laini lainii...
Haluwa haluwa kinyama cha hamu, uhondo utosinii
Haluwa haluwa sili kwa kijicho nalishwa kwa ulimii
Haluwa haluwa napewa hadi vya miko sa nitake nini




Mbosso - Maajab - Single
Album Maajab - Single
date de sortie
27-05-2019

1 Maajab




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.