paroles de chanson Sina Nyota - Mbosso
Mwenyewe
anaona
sawa
Ila
mwambie
mimi
ananiumiza
sana
Ni
zaidi
ya
kupagawa
Siponi
ugonjwa
na
nishamaliza
dawa
Aaaaah,
aaahh
Na
ajue
bado
nipo
Ila
hali
yangu
hohehahe
sina
mabadiliko
Machozi
mafuriko
Fundi
wa
jiko
langu
kaacha
mawe
Mpaka
akalamba
mwiko
Toka
alivyoniacha
Sina
nyota
wala
mwezi
Mwenzake
nimekamatwa
Na
homa
ya
mapenzi
Toka
alivyoniacha
Sina
nyota
wala
mwezi
Mwenzake
nimekamatwa
Na
homa
ya
mapenzi
Mwili
wote
peteka
Sina
afadhali
mawazo
yanitesa
Mavodabodeka
ni
ka
misumari
Naanza
dhoofika
Mwili
wote
peteka
Sina
afadhali
mawazo
yanitesa
Mavodabodeka
ni
ka
misumari
Naanza
dhoofika
Bado
ndo
ndo
ndo
chururu
Nikijaza
hakijai
kibaba
Na
misongo
songo
msururu
Sita
haikai
saba
Mimi
kitorondo
we
kunguru
Mbao
zangu
hazimpi
msaada
Makombe
nishaoga
dawa
ka
susuru
Huenda
akasahau
labda
Kitandani
mito
ipo
miwili
Ubavu
wewe
ubavu
mimi
Pakata
ndiko
imewekwa
shubiri
Nalikwepa
nalala
chini
Nimefuta
picha
Tulizopiga
chumbani
Ila
bado
zanisuta
suta
Zimebaki
kichwani
Silali
nashtuka
shtuka
Unaniita
kizani
Chozi
la
niwesha
shuka
Na
sina
wa
kunifuta
nani
Toka
alivyoniacha
Sina
nyota
wala
mwezi
Mwenzake
nimekamatwa
Na
homa
ya
mapenzi
Toka
alivyoniacha
Sina
nyota
wala
mwezi
Mwenzake
nimekamatwa
Na
homa
ya
mapenzi
Mwili
wote
peteka
Sina
afadhali
mawazo
yanitesa
Mavodabodeka
ni
ka
misumari
Naanza
dhoofika
Mwili
wote
peteka
Sina
afadhali
mawazo
yanitesa
Mavodabodeka
ni
ka
misumari
Naanza
dhoofika
Toka
alivyoniacha
Sina
nyota
wala
mwezi
Mwenzake
nimekamatwa
Na
homa
ya
mapenzi
Toka
alivyoniacha
Sina
nyota
wala
mwezi
Mwenzake
nimekamatwa
Na
homa
ya
mapenzi
(Wasafi)
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.