paroles de chanson Sisonje - Mrisho Mpoto
Sizonje
hii
ndio
nyumba
yetu
Milango
ipo
wanapita
madirishani
Sizonje
ndio
nyumba
yetu
Milango
ipo
wanapita
madirishani
Ingia
uyaone,
maajabu
ya
nyumba
yetu
Ingia
uyaone,
maajabu
ya
nyumba
yetu
Tulikaa
barazani,
tukasikia
kelele
Kelele
toka
ndani,
mtu
anaruka
dirishani
Sizonje,
karibu
nyumbani
kwetu
Uone
maajabu
ya
nyumba
yetu
Karibu
sana
Sizonje,
hii
ndo
nyumba
yetu
Tulipoficha
mundu
za
kupondea
wezi
Kwani,
makaburi
yaliofukuliwa
lazima
yazikwe
upya?
Nyumba
hii
Sizonje
ina
vyumba
vinne
Vitatu
havifunguki,
kimoja
hakina
mlango
Japo
kuwa
kina
watu
ndani,
na
hawaongei
kiswahili
Wenyeji
wanalala
sebleni
na
walishazoea
Sizonje
kule
tulipotoka
panaitwa
jikoni
Huna
haja
ya
kwenda
kule,
kumejaa
mafundi
wa
kupika
Sasa
hivi
wanakupikia
wewe
ili
ule
ulale
Ukiamka
muongee
nini
hasa
ujio
na
dhima
ya
safari
yako
Wanashangaa
mbona
ghafla
Samahani
sana
mgeni
Wapishi
wameniomba
kwamba
Nikuulize
tena
kwa
kukuomba
kwamba
Eti
unapenda
vya
mafuta
au
vya
nazi?
Wanataka
kukuonyesha
madoido
katika
mapishi
yao
Sizonje
Sizonje
chumba
hiki
naomba
usiingie
Ukimaliza
nitakwambia
kwanini
Kuna
sauti
inajirudia
mara
kwa
mara
Na
hapa
mlangoni
kulikuwa
na
picha
mbili
kubwa
Moja
picha,
nyingine
mchoro
wa
picha
wa
kwanza
Ninachokumbuka
iliwahi
kuandikwa
"USIYEMTAKA
KAJA"
Hatukuwahi
kuelewa
maana
yake
Labda
kwa
sababu
ya
ujio
wako
unaweza
kutusaidia
Sizonje
hii
ndio
nyumba
yetu
Milango
ipo
wanapita
madirishani
Sizonje
hii
ndio
nyumba
yetu
Milango
ipo
wanapita
madirishani
Ingia
uyaone,
maajabu
ya
nyumba
yetu
Ingia
uyaone,
maajabu
ya
nyumba
yetu
Najua,
wimbo
mbaya
haufai
kubembelezea
mtoto
Na
kamwe
mtoto
hawezi
kuungua
Kwa
kiazi
kilichokuwa
kwenye
kiganja
cha
mama
yake
mzazi
Njoo
huku
uone
Sizonje
Si
unajua,
harufu
ya
uzazi
haiishi
mpaka
mtoto
akue?
Sawa,
Sizonje,
huu
hapa
ni
ua
Lile
pale
ni
shimo
la
taka
Na
kile
pale
ni
choo
Kinachotutisha
na
kutuogopesha
zaidi
Wanaoishi
humu
ndani
hawajawahi
kutupa
taka
Wala
kwenda
chooni
Kama
ukiwa
makini
Kwa
nje
utasikia
sauti
za
makundi
ya
watu
Wengi
ni
vijana,
wana
bahasha
za
khaki
mikononi
"KAMA
HAMTUPI
TAKA
SHIMO
HILI
MLICHIMBA
LA
NINI?"
Lakini
pia
kwenye
sauti
zao,
Sizonje
Kuna
watoto,
wazee
na
kina
mama
Ukiunganisha
sauti
zao
ndio
unapata
hizo
kelele
Ninavyosikia,
ila
sina
uhakika
Waliambiwa
kihistoria
nyumba
hii
ni
ya
kwao
Na
wana
haki
ya
kutupa
taka
na
kutumia
choo
hiki
Sasa,
njoo
nikuonyeshe
huku
uchochoroni
Uone
maajabu
mengine
ya
nyumba
hii
Sizonje,
ukiona
tembo
anaringa
Ujue
mvua
zinakaribia
Sizonje
hii
ndio
nyumba
yetu
Milango
ipo
wanapita
madirishani
Sizonje
ndio
nyumba
yetu
Milango
ipo
wanapita
madirishani
Ingia
uyaone,
maajabu
ya
nyumba
yetu
Ingia
uyaone,
maajabu
ya
nyumba
yetu
Ingia
uyaone,
maajabu
ya
nyumba
yetu
Ingia
uyaone,
maajabu
ya
nyumba
yetu
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.