Nadia Mukami - Si Rahisi paroles de chanson

paroles de chanson Si Rahisi - Nadia Mukami

Tarara tarara taraaa
Ndoto niote eti mimi napepea
Maombi mniombe muziki nizidi bombea
Hutoweza kurekodi kama huna cha kuwapea
Niuze sura nione kama watainunua
Si rahisi kwenye runinga na redio zote nivume
Si rahisi kwenye Twitter waseme kaNadia katambe
Si rahisi mablogger chocha huyu ndo mwandishi
Si rahisi... si rahisiii
Nilifunga safari eti naanza kuimba
Nikajiona wa kusifiwa kama Papa Wemba
Ngoma zangu zivuke border mpaka kule Pemba
Ujumbe nao usikike kote mpaka na Wakamba
Ilinivunja moyo waliponifukuza studio nitoke
Wakanidharau familia ndugu wa toka nitoke
Promoter bandia kunipa show kisha jioni apotee
Producer chocha niimbe Lingala, nazali nayo mboote
(Nayo mbote)
Si rahisi kwenye runinga na redio zote nivume
Si rahisi kwenye Twitter waseme kaNadia katambe
Si rahisi mablogger chocha huyu ndo mwandishi
Si rahisi... si rahisiii
Kwenye industry wanatuchesa, controversy zilete pesa
Eti kaNadia naye yule, mara nimetemwa vilevile
Wengine wavume bila talanta, kwenye picha tako wamekamatwa
Jina tupu walishapata, je huu ni ungwana?
Eti muziki kizungumkuti
Ikinishinda niipige buti
Ama nianze kucheza isukuti wee
Tena yao beef sijazoeaga
Mi ni mpole wananianzaga
Eti sanaa nianze kuaga
Haya maneno zilizaga
Si rahisi kwenye runinga na redio zote nivume
Si rahisi kwenye Twitter waseme kaNadia katambe
Si rahisi mablogger chocha huyu ndo mwandishi
Si rahisi... si rahisiii
Ata nikifa leo niwe wa kusifiwa
Niliishi kutamani niwe kama Miriam Makebaaa
Si rahisi nisikike, si rahisi nivume, si rahisi nikubalike
Si rahisi kwenye runinga na redio zote nivume
Si rahisi kwenye Twitter waseme kaNadia katambe
Si rahisi mablogger chocha huyu ndo mwandishi
Si rahisi... si rahisiii
Si rahisi kwenye runinga na redio zote nivume
Si rahisi kwenye Twitter waseme kaNadia katambe
Si rahisi mablogger chocha huyu ndo mwandishi
Si rahisi... si rahisiii yeah
Sherry yeah, sherry yeah, si rahisi yeah
Si rahisi yeah

Writer(s): Nadia Mukami

Nadia Mukami - Si Rahisi
Album Si Rahisi
date de sortie
20-02-2020

Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.