paroles de chanson Kivuruge - Nandy
Ooah
oooh
mmmh
Ringtone
on
this
beat
Uliyenipa
maumivu
mi
kama
nyang′au
Na
tena
maumivu
dawa
ninywe
vidonge
Kwa
marafiki,
mashosti
unakanidharau
Ukanitia
uvivu,
stress
niwe
mnyonge
Hoh
oah
Uliyenipa
maumivu
mi
kama
nyang'au
Na
tena
maumivu
dawa
ninywe
vidonge
Kwa
marafiki,
mashosti
unakanidharau
Ukanitia
uvivu,
stress
niwe
mnyonge
Leo
sina
thamani,
ndo
maana
Unawafuata
milupo
ohh
baba
Leo
sina
thamani
eh
ndo
maana
Unawafuata
milupo
oh
baba
We
niache
Nitapona
mdogo
mdogo
nitapona
(niache
niende
salama)
Nitapona
mdogo
mdogo
nitapona
(we
niache)
Nitapona
mdogo
mdogo
nitapona
(niache
niende
salama)
Nitapona
mdogo
mdogo
(ooh)
nitapona
Ooh
oaaah
ooh
ooah
Mara
ugomvi
unakurupua
unanitukana
mimi
Hata
zawadi
nikikuletea
hausemi
ahsante
Tena
nashare
hata
bila
kujua
we
huridhiki
kwa
nini
Na
wakati
nilijisumbua
mwenzangu
usiwaze
Wangu
moyo
we
unauchanganya
ah
Umekua
kivuruge
unavuruga
sana
baba
we
Kitu
gani
kwako
mi
sijafanya
eh
eeh
Ama
kuna
mtu
mnapendana
sana
Leo
sina
thamani
ndo
maana
Unawafuata
masista
du
oh
baba
Leo
sina
thamani
eh
ndo
maana
Unawafuata
masista
du
oh
baba
We
niachee
Nitapona
mdogo
(niache
we)
mdogo
nitapona
(niachee)
Nitapona
mdogo
(niache)
mdogo
nitapona
(ntapona
kidogo
kidogo)
Nitapona
mdogo
mdogo
(ooh)
nitapona
(ntapona
mimi)
Nitapona
mdogo
mdogo
(niache
we)
nitapona
Aiyoyoyo
aiyoooh
ooh
Ringtone
on
this
beat
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.