paroles de chanson New Couple - Nandy
(Mr.
LG)
Ningependa
kuona
Vanessa
na
Jux
Mara
ghafla
ikatokea
nuksi
Sikuwaona
tena
wakatengana
Aslay
nilizoea
kumuona
na
Tesi
Katokea
mazito
sio
mepesi
Wakatengana
tena
Nilitegemea
kumuona
Harmo
na
Sara
wakiendelea
Mambo
yamebadilika
namwona
Kajala
ila
nawaombea
Mlitegemea
Kusah
na
Ruby
wakiendelea
Mambo
yamebadilika
namwona
Aunt
Ezekiel
Watoto
wanamlea
Uh-huh,
new
couple
Kila
siku
inazuka
new
couple
Uh-huh,
new
couple
Kila
siku
inazuka
new
couple
Nilikuwa
nice
couple
Harusini
ningekuja
na
zawadi
ningetoa,
hey
Eti
Queen
Darleen
wamwonea
wivu
wa
nini?
Ukiwa
mke
wa
pili
jiamini,
yeah
Hmm
Eti
Mani
na
Esma
mambo
mmeyamaliza
Inamkera
mziza,
no,
no,
no
Mlitegemea
kuniona
mimi
na
Nenga
tukiendelea
Mambo
yamebadilika
na
simwoni
tena
Ila
namwombea
Mlitegemea
Fahima
na
Ray,
wakiendelea
Mambo
yamebadilika
yaliyofatia
sisemi
Uh-huh,
new
couple
(weh,
new
couple)
Kila
siku
inazuka
new
couple
(new
couple)
Uh-huh,
new
couple
(new
couple,
yeah)
Kila
siku
inazuka
new
couple
(new
couple,
new
couple,
yeah)
Hm,
yeah
Love
doesn't
ask,
"Why?"
Let's
love,
enjoy
and
celebrate
Hey
(The
Mix
Killer)
Kila
siku
inazuka
new
couple
It's
all
about
love
(it's
all
about
love...)
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.