paroles de chanson Amen - Nedy Music
Amen!
Amen!
(Its
new
Aloneym
pon
the
track)
Mmh
nah
nah
nah,
nah
nah
nah
Maisha
safari
dunia
njia
tunapita
tu
Kiachana
afadhali
ongeza
nia
utafika
tu
Walishaniomba
lifti
kinyonge
(Iyee
iyee)
Nikawapa
tafu
wasonge
(Iyee
iyee)
Wakaniita
kavu
mi
mnyonge
Walonipa
ndo
wale
wale
wapora
tonge
Kodi
baba
saidia
Kwenye
miiba
palilia
Kwenye
shimo
yafukia
Huenda
nikapona
donda
Sina
nongwa
(Aah),
sina
choyo
Nani
mganga
aitabiri
hii
nyota
yangu
(Aah)
Sina
meno
kibogoyo
Mswaki
wa
nini
kinywani
mwangu?
Wanatamani
wanipige
hata
zongo
Kitambi
cha
masikini
kibyongo,
wana
shombo
Maneno
neno
mengi
ya
uongo
Mpemba
nisifike
malengo,
wanakaba
Amen!
We
omba
dua
kesho
usichoke
yatatimia
Amen!
Weka
yako
nia
Mola
wako
anakusikia
Amen!
Fumba
macho
pia
na
amini
utafanikiwa
Amen!
Riziki
mafungu
saba
na
lako
utafikishiwa
Walishanitangaza,
sambaza
Kwa
mabaya
nikanyimwa
mema
Wakanipakaza,
kujaza
Uzuri
nimenyimwa
sema
Pole
na
unyonge
wangu
Ngoja
binti
Juma
asante
sana
mama
Salamu
ndio
natuma
nakupenda
sana
Kwanza
moja
sio
ujinga
Ukiamini
ipo
siku
utashinda
Japo
wapo
wanaopinga
Pambana,
kazana
eeh
Sina
nongwa
(Aah),
sina
choyo
Nani
mganga
aitabiri
hii
nyota
yangu
(Aah)
Sina
meno
kibogoyo
Mswaki
wa
nini
kinywani
mwangu?
Wanatamani
wanipige
hata
zongo
Kitambi
cha
masikini
kibyongo,
wana
shombo
Maneno
neno
mengi
ya
uongo
Mpemba
nisifike
malengo,
wanakaba
Amen!
We
omba
dua
kesho
usichoke
yatatimia
Amen!
Weka
yako
nia
Mola
wako
anakusikia
Amen!
Fumba
macho
pia
na
amini
utafanikiwa
Amen!
Riziki
mafungu
saba
na
lako
utafikishiwa
Amen!
Amen!
Amen!
Amen!
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.