Nyashinski - G.O.A.T. paroles de chanson

paroles de chanson G.O.A.T. - Nyashinski



N. Y. A. S. H. I. N. S. K. I, I stay fly
G. O. A. T that's no lie
Nabaki T. O. P till I die
Mi siwandanganyi bana this time umati imesha-decide
Wanati wanna-legalise marijuana yeah
Ni funny naona design nilianzishanga mkirhyme
Ndio maana naji-describe kafundi wa ma-career
Ni nini ka si define
Kutoka mahali tumetoka hadi kujifine
Kwa keja zina master mbili
Huyu mrasta ana akili
Na hawezi zipima ata mkisimamana ratili over there
Really niko fine check thermometer
U. G ushaamua since biz iko na pombe wana wine
Na si tuko busy tunagombana online
Mapang'ang'ana sasa hio nchi inachomeka na hatucare
Siasa ni za tribal line
Streets ni mimi na jaba na my idle mind
Industry ilikuwa flat kila vital sign
Tu-agree comeback yangu ilikuwa right on time, yeah
N. Y. A. S. H. I .N. S. K. I, I stay fly
G. O. A. T that's no lie
Nabaki T. O. P till I die
Hits mingi ka the mushroom na Punit pamoja
Wanasemanga mi ni ka kikundi mtu mmoja
Kando yangu iko na mtu ana kidungi kwa toja
Incase watry kupimana mvi na kocha
Ni mi nasosi kaongezeni chumvi na sosa
Mind iko sharp kama suti inanitosha
Shughuli napiga sio lazima mzione
Been here forever na bado ni ngumu mnisome
Sumu jikoni saa ishaiva
Umeona nimedumu mwisho umekuwa believer
Vichwa vigumu ndo hufika mahali nimefika
Kama worth yako waseme we ni diva
N. Y. A. S. H. I .N. S. K. I, I stay fly
G. O. A. T that's no lie
Nabaki T. O. P till I die
Kama mbese na skusha my household name
I'm the best ever, loose never can't complain
Already in the hall of fame and still playing
GOAT shit am forever in my own lane
Drop the game back mi na sauti hakuna argument
Make a space for you young niggas msiwai forget
Na hiyo debt huezi lipa, wengi huguess
Wanapata hit moja wengi humess
Wengi huisha, wengi hutafuta shortcut wamebaki wameburn
Took time of this shit nikaistudy na nakailearn
Ka ninayo jua nilifanyia kazi na nikaiearn
Ka ni luck verse ya lack
Here as they come, chinchilla!



Writer(s): Nyamari "nyashinski" Ongegu


Nyashinski - Lucky You
Album Lucky You
date de sortie
17-04-2020




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.