Nyashinski - Wach Wach paroles de chanson

paroles de chanson Wach Wach - Nyashinski



Yeah
Uh
Yeah, yeah
Wach wach
Wach wach
Yeah
Mi ni senior nafaa kuwa deputy
Pedi wako anajua nina pedigree
Infact unafaa kuwa unasimama niketi
Hii gava itasanya hata mamatha vibeti
Mwizi atakuibia walenje ukidedi
Mwizi anapunguza jam akidedi
Hizo ni vitu ma-rapper hawatemi
Kua ma-career ni pang′ang'a na deni
Hakuna mtu anasema ukweli
Watu wanalipwa mapeni
Nikiwa mavela naona makaveli
Hii ni msomo free ka People Daily
Umeng′aria hawa watu for long, mpaka saa hii inabore
Inabore saa mpaka umeanza ku-long for watu unang'aria
Iko wapi hizo throne naskia zimekaliwa
Sikuangi kwa zone, nakuanga kwa caliber flani ya form
Haiezi match-iwa, najua itakuwa long kabla mu-mature
Msinitry mi najijua
Risasi haisimamishwagi na kifua
Kisasi hailipishwagi na ratili
Na kama customer flani anasumbua
Mi najijua
Nimeconfirm (Nimeconfirm)
Mi najijua (Mi najijua)
Mitaa zimetii-tii-tii-tii
Mi nachafua (Mi nachafua)
Zao ziko down
Si tuko tu up (Si tuko tu up)
Mitaa zimetii-tii-tii-tii
Mi nachafua (Mi nachafua)
Sema sa wach wach ndo vile naskia (Wach wach)
Wach wach, wach wach
Wach wach ndo vile naskia
Wach wach ndo vile naskia
Sema sa wach wach ndo vile naskia (Wach wach)
Wach wach, wach wach
Wach wach ndo vile naskia
Wach wach ndo vile naskia
Okay you see, only what they let you see
Na hii ni advice si matusi
Don't fu- up juu ya ganji
Don′t act like you′re so holy
Judgement yako haikuponyi
Ukiomoka asubuhi usikuwe ushasota by jioni
Mi na-slaughter microphoni
Go missing, hamnioni
Nikinyamaza jua nikupromising ka Tigoni
Been polishing skills za mine
Ni astonishing ka milioni
Na inakaa ungekaa mjinga if you were wishing failure on me
Yeah, mauraru hatatuja tuna
Ngata gari yangu inakunywa
Defence na attack, najichunga
Guranteed leo baki na kuma
Ka Mr. Tuna, ah sina tumor
Plus huna kiuno hadi najiuma
Umetisha and I'm sure you know
We itisha mpaka wa-jam
Na hii beat ni ya my nigga Sam
Ear drums zako zinakubali
Pia roho yako inakubali
Hii flow ina uhodari flani
Huonangi mtaani, ndo unaona hapa nani ndo daktari
Dere wa trailer atakuwa na Ferrari, amen
Mi najijua
Nimeconfirm (Nimeconfirm)
Mi najijua (Mi najijua)
Mitaa zimetii-tii-tii-tii
Mi nachafua (Mi nachafua)
Zao ziko down
Si tuko tu up (Si tuko tu up)
Mitaa zimetii-tii-tii-tii
Mi nachafua (Mi nachafua)
Sema sa wach wach ndo vile naskia (Wach wach)
Wach wach, wach wach
Wach wach ndo vile naskia
Wach wach ndo vile naskia
Sema sa wach wach ndo vile naskia (Wach wach)
Wach wach, wach wach
Wach wach ndo vile naskia
Wach wach ndo vile naskia
Nimeconfirm
Mi najijua (Mtaa zimetii-tii-tii)
Mi nachafua
Zao ziko down
Si tuko tu up (Mtaa zimetii-tii-tii)
Mi nachafua
Wach wach, wach wach, wach wach (Tii-tii-tii)
Wach wach, wach wach, wach wach (Tii-tii-tii)



Writer(s): Nyamari "nyashinski" Ongegu


Nyashinski - Lucky You
Album Lucky You
date de sortie
17-04-2020




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.