paroles de chanson Aje Anione - Otile Brown
Oooh,
Ooh
baby,
Naamini
kila
binadamu
ana
ubaya
na
uzuri
wake,
baby,
Mmmh,
Naamini
kila
binadamu
ana
madhaifu
yake,
Ooh
baby,
Mmmh,
Nami
yangu
nayajua
na
nakabiliana
nayo,
Ila
mwenzio
sitojua
kwa
kosa
la
kuumiza
moyo
wako,
ooh
nisamehe
Tena
najuta,
najuta
eeh,
Aah,
yalonikuta,
Kazi
ya
ibilisi
mama,
Tena
usiku
silali,
Labda
nilewe
chakari,
Ama
nilale
mama
na
picha
yako
kifuani,
Ndo
nijisuku
nami
je
unaniwaza
Mmh
baby,
Ama
tamaa
kwangu
ulishakata,
Aje
anione,
aje
akanione,
Aje
anione,
Aje
anione
ne
ne
ne
ne
Wajua
ninakukosa
sana,
hasa
giza
linapotanda,
Mi
mahututi,
Mi
mahututi
Wajua
nmekuzoea
mama,
nakuhitaji
leo
zaidi
ya
jana,
Na
endapo
utachelewa
mama,
Mi
maiti,
Eeeh,
Tena
najuta,
najuta
eeh,
(Mamaa)
Yalonikuta,
Kazi
ya
ibilisi
mama,
Tena
usiku
silali,
Labda
nilewe
chakari,
Ama
nilale
(mama)
na
picha
yako
kifuani,
Ndo
nijisuku
nami,
Je
unaniwaza,
Mmh,
baby,
Ama
tamaa
kwangu
ulishakata,
Aje
anione,
aje
akanione,
Aje
anione,
Aje
anione
ne
ne
ne.
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.