Paul Clement - Unaabudiwa Kwa Usafi paroles de chanson

paroles de chanson Unaabudiwa Kwa Usafi - Paul Clement

Ooh, Eh eh
Ninavua viatu vyangu, mbele zako maana mahali pako Nchi Takatifu
Ninavua viatu vyangu, mbele zako maana mahali pako Nchi Takatifu
Eeh Bwana Nchi yako Takatifu, unaabudiwa kwa usafi
Eeh Bwana Nchi yako Takatifu, unaabudiwa kwa usafi
Wa moyo, wa moyo, wa moyo
Everybody sing, say
(Ninavua viatu vyangu mbele zako) maana mahali pako
(Maana mahali pako Nchi Takatifu),
Ninavua matendo yangu ya mwili Bwana
(Ninavua viatu vyangu mbele zako) maana mahali pako
(Maana mahali pako Nchi Takatifu) Eeh Bwana ah
(Eeh Bwana) Nchi yako, (Nchi yako) Takatifu (Takatifu)
Unaabudiwa (Unaabudiwa) kwa usafi, (kwa usafi)
Eeh Bwana (Eeh Bwana) Nchi yako (Nchi yako) Takatifu (Takatifu)
Unaabudiwa (Unaabudiwa) kwa usafi (kwa usafi)

Eeh Bwana (Eeh Bwana) Nchi yako Bwana (Nchi yako) Takatifu (Takatifu)
Unaabudiwa, eeh (Unaabudiwa) kwa usafi (kwa usafi)
Ooh wa moyo (wa moyo) usafi wa moyo (wa moyo)
Usafi wa moyo (wa moyo), eeh unaabudiwa (unaabudiwa) ooh
(Kwa usafi) Wa moyo (wa moyo)
Unaabudiwa kwa usafi wa moyo, Bwana (wa moyo)
Usafi wa moyo, (wa moyo), eeh Bwana
(Unaabudiwa) kwa usafi, (kwa usafi) wa moyo
Wa moyo, (wa moyo)
Usafi wa moyo Bwana, (wa moyo)
Usafi wa moyo Bwana, (wa moyo)
We, eh unaabudiwa, (unaabudiwa) Bwana kwa usafi (kwa usafi)
Eeh wa moyo (wa moyo)
Usafi wa moyo, (wa moyo)
Usafi wa moyo, (wa moyo)
Bwana unaabudiwa, (unaabudiwa) kwa usafi (kwa usafi)
E-eeh wa moyo (wa moyo)
Usafi wa moyo (wa moyo)
Usafi wa moyo (wa moyo)
Eeh Bwana (Unaabudiwa) kwa usafi (kwa usafi)
Wa moyo (wa moyo)
Usafi wa moyo (wa moyo)
Oh, ooh (wa moyo)
Bwana unaabudiwa, (Unaabudiwa) kwa usafi (kwa usafi)
Eeeh, Halelluya
Unaabudiwa kwa usafi, wa moyo (wa moyo)
Usafi wa moyo (wa moyo)
Usafi wa moyo Bwana (wa moyo)
Eeh unaabudiwa (Unaabudiwa) eeh (kwa usafi)
Usafi wa moyo (wa moyo)
Usafi wa moyo (wa moyo)
Usafi wa moyo (wa moyo)
Bwana unaabudiwa, (Unaabudiwa) kwa usafi (kwa usafi)
Wa moyo, wa moyo (wa moyo)
Usafi wa moyo (wa moyo)
Usafi wa moyo (wa moyo)
Ooh unaabudiwa, (Unaabudiwa kwa usafi)
Wa moyo
Wa moyo
Wa moyo
Unaabudiwa kwa usafi

Writer(s): Paul Clement

Paul Clement - Usiyeshindwa
Album Usiyeshindwa
date de sortie
31-05-2020

Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.