Prince D - MWENDA POLE paroles de chanson

paroles de chanson MWENDA POLE - Prince D



Mon bébé
Wende pole oh, ma chérie
Wende pole oh, mon bébé
Usipoenda pole dunia itakufunza
Usipoenda pole dunia itakufunza
Mwenda pole, ah
Oh, hufika mbali
Wende pole oh, oh ma chérie
Usipoenda pole dunia itakufunza
Mwenda pole, oh oh hufika mbali
Wende pole oh oh oh oh oh
Ah, eh
Mwenda pole
Hua ufika mbali kwenye safari
Ndivyo hivyo mimi nawe baby
Twende pole
Daima tuta fika kwenye safari
Mwisho wa safari, hua mgumu
Twende pole oh oh oh
Twende pole oh oh oh
Tusipoenda pole
Safari itatushinda
Twende pole oh oh oh
Twende pole oh oh oh
Tusipoenda pole
Safari itatushinda
Tusipoenda pole
Safari itatushinda
Mwenda pole oh
Hushinda safari
Mwenda pole oh
Hushinda safari
Twende pole oh oh oh
Twende pole oh oh oh
Twende pole oh oh oh
Oh oh oh oh
Safari ya mapenzi yetu baby
Tafadhali tuchukuwe kwa wepesi baby
Safari ya mapenzi yetu baby
Tafadhali tuchukuwe kwa wepesi baby
Kapunguze kasi, ah
Kwa mapenzi baby
Speed tunayo yi endesha
Ni kubwa baby
Kapunguze kasi, ah
Kwa mapenzi tunayo baby
Speed tunayo yi endesha
Ni kubwa baby




Prince D - WARRIOR'S LOVE
Album WARRIOR'S LOVE
date de sortie
12-11-2023




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.