Prince D - PENZI KWENYE MWAMBA paroles de chanson

paroles de chanson PENZI KWENYE MWAMBA - Prince D



Ah
Penzi kwenye mwamba
Kwenye mwamba (Prince D)
Yeah
Penzi langu lime anguka
Kwenye mwamba
Penzi langu lime anguka
Kwenye mwamba, eh
Penzi langu lime anguka
Kwenye mwamba
Penzi langu lime anguka
Kwenye mwamba, eh eh
Penzi langu lime anguka
Kwenye mwamba
Penzi langu lime anguka
Kwenye mwamba, eh
Rahisisha moyo niingie
Nistarehe
Bébé, rahisisha moyo niingie
Nistarehe
Nili pendana nawe
Roho yangu nika kupea
Hapo mwanzo nilidhani kwamba
Kuku penda siku potea
Penzi langu nilikupea
Nalo ombi langu upokee
Na sitamani kusikia
Ukisema
Stop, eh
Mbona nakupenda
Ila hauni pendi
Mbona nakupenda
Ila hauni pendi
Baby nakupenda
Ila wewe hauni pendi
Ni fanye je uni pende?
Kweli mimi nakupenda, yo
Oh oh oh
Nakupenda eh, oh oh
Ila penzi langu eh
Lime anguka
Lime anguka oh oh
Kwenye mwamba
Oh oh oh
Penzi langu lime anguka
Kwenye mwamba, eh
Penzi langu lime anguka
Kwenye mwamba, eh
Penzi langu lime anguka
Kwenye mwamba eh
Penzi langu lime anguka
Kwenye mwamba, eh
Eh
Kwanini baby
Wani umiza moyo?
Oh, kwanini baby
Wani umiza moyo?
Oh, sababu gani eh ah eh eh
Wani umiza moyo?
Sababu gani baby, eh
Wani umiza moyo?
Penzi langu lime anguka
Kwenye mwamba, eh
Eh eh
Oh, kwenye mwamba
Moyo wako mwamba
Mpenzi wangu mbona
Mbona mbona, eh eh
Penzi langu lime anguka
Kwenye mwamba
Eh eh eh
Oh oh oh, kwenye mwamba
Oh, kwenye mwamba




Prince D - WARRIOR'S LOVE
Album WARRIOR'S LOVE
date de sortie
12-11-2023




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.