paroles de chanson Ex Boyfriend - Rayvanny
Leo
nakula
kwa
macho
Nguvu
ya
kusema
sina
Maneno
ya
mipasho
Na
jeuri
vimeshazima
Nilishafuta
namba
zako
Nikachoma
picha
zako
Sikujali
ulivyolia
Mbele
ya
mashoga
zako
Nikasema
uende
zako
Nguo
nikakutupia
Na
zaidi
uliuguza
vindonda
Kwa
vipigo
manyanyaso
kila
siku
Kwa
mawazo
ukakonda
Niko
bussy
kuchiti
Nafungua
zipu
Ulinibembeleza
nikakubeza
Unanuka
na
nikatukelekeza
Macho
makengeza
miguu
ya
pweza
Kuwa
nawe
nkasema
niliteleza
Leo
unapendeza
wamekutengeneza
Wanaume
wenye
mali
wenye
fedha
Sasa
unajiweza
na
siwezi
kujikweza
Najutia
nafasi
kuipoteza
Leo
aibu
yangu
Ex
boyfriend
Ex
boyfriend
Ex
boyfriend
Siiti
tena
honey
baby
jina
langu
limekua
Ex
boyfriend
Ex
boyfriend
Ex
boyfriend
Sikujua
kumbe
tabu
peke
yangu
naugua
Nawaza
nilifeli
wapi
kusema
sikutaki
Sura
ya
baba
na
kitambi
cha
makapi
Sasa
unamtanashati
bitozi
tena
smart
Mtu
wa
gym
tena
ana
six-pack
Mi
nipo
juu
ya
bati
Sina
mikakati
Ghetto
mwendo
chai
na
chapati
We
ushahama
mburahati
Una
nyumba
masaki
Mnachoma
nyama
kila
siku
party
Ushanipiga
mikuki
aah
Insta
mi
sifurukuti
aah
Mambo
ya
gauni
suti
aah
Mkifanya
photoshoot
aah
Mapenzi
hayana
commando
Mwenzako
unaniuma
roho
Natamani
nikuite
njoo
Turudi
kama
before
Kumbe
shape
ilijificha
kwenye
dera
Hizo
skin-jeans
mama
zinakera
Utaniletea
kadi
kwenye
machela
Siku
wakikuvalisha
shela
Na
ulinibembeleza
nikakubeza
Unanuka
na
nikakutelekeza
Macho
makengeza
miguu
ya
pweza
Kuwa
nawe
nkasema
niliteleza
Leo
unapendeza
wamekutengeneza
Wanaume
wenye
mali
wenye
fedha
Sasa
unajiweza
na
sio
najikweza
Najutia
nafasi
kuipoteza
Leo
aibu
yangu
Ex
boyfriend
Ex
boyfriend
Ex
boyfriend
Siiti
tena
honey
baby
jina
langu
limekua
Ex
boyfriend
Ex
boyfriend
Sikujua
kumbe
tabu
peke
yangu
naugua
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.