paroles de chanson Babilon - Rich Mavoko
Natoka
Bongo
wala
si
Congo
Mida
ya
fisi
na
maza
tunauza
gongo
Life
ulufombo,
watu
wana
nyongo
Upate
kitu
kidogo
upigwe
dongo
Usije
fosi
battle
mi
ni
business
man
Utacheza
mdaku
ka
utashindwa
shine
(yeah
yeah
yeah)
Wanaishi
Babilon
system
Jifanye
huna
nguvu
ugawe
wazi
Wanasema
kelele
Mwenzake
chura
Ukijaribu
kufosi
kingi
Utanyimwa
hadi
kura
Mwanangu
we
ukitoka
usirudi
Fanya
tu
tupate
dishi
tuishi
gudi
Watakupa
maseke
kusudi
Ili
tu
wakutoe
kwenye
mudi
Kila
sehemu
nayatimba
Wahusika
wanajificha
Masnichi
wanazima
taa
Nikiwa
ndani
na
manigga
Wamambwiga,
walofika
So
lazima
watashangaa
Na
wanangu
wewe
(wewe)
Wewe
(wewe)
wewe
(wewe)
wewe
Na
wachumba
wewe
(wewe)
Wewe
(wewe)
wewe
(wewe)
wewe
Come
here
and
see
Wakati
nacho
fanya
ni
lazima
kihit
Come
here,
come
here,
come
here
and
see
Wakati
nacho
fanya
ni
lazima
kihit
Kwetu
hatuwezi
Kuvumilia
ngumi
na
panga
mkononi
Ukielekeza
mapenzi
Utakwanguliwa
uwe
bwege
mtozeni
Kinja
kinja
nachinja
Usije
ukayumba
Kama
unakuja
na
dinga
Nifiche
kwenye
jumba
Ya
kwanza
mi
nikipata
eeh
Nikipata
eeh
(wahuni
tu
nimwage)
Na
nyumbani
kwa
maza
eeh
Kwa
maza
eeh
(lazima
nizimwage)
Mwanangu
we
ukitoka
usirudi
Fanya
tu
tupate
dishi
tuishi
gudi
Watakupa
maseke
kusudi
Ili
tu
wakutoe
kwenye
mudi
Kila
sehemu
nayatimba
Wahusika
wanajificha
Masnichi
wanazima
taa
Nikiwa
ndani
na
manigga
Wamambwiga,
walofika
So
lazima
watashangaa
Na
wanangu
wewe
(wewe)
Wewe
(wewe)
wewe
(wewe)
wewe
Na
wachumba
wewe
(wewe)
Wewe
(wewe)
wewe
(wewe)
wewe
Natoka
Bongo
255
Tafuta
kazi
hiyo
si
kazi
wewe
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.