Rj The Dj feat. Khadija Kopa, Lava Lava & Mbosso - Kifolongo (feat. Khadija Kopa, Lava Lava & Mbosso) paroles de chanson

paroles de chanson Kifolongo (feat. Khadija Kopa, Lava Lava & Mbosso) - Rj The Dj feat. Khadija Kopa, Lava Lava & Mbosso



Instrunmental
The Dj all day baby Kiraru raru usiwe na haya ukatulia Una kiwaru
Waru kutanga tanga kiguu na njia We jini kifaru,
Vya watu unavamia Unacharuka charu,
Kiso chako huna nyaa pia Huchagui mzima awe mdondo Msikinde ama
Msondo Kiguu ama kamongo We twende Ati kimechina kina
Shombo Kwa Kinshasa Congo Makabila manufongo Kiwembe(
Iyee) Aaah Kifolongo, kifolongo Rudi kwenyu ni chamba wima Kifolongo,
Kifolongo Hili jiji lina zizima Kifolongo,
Kifolongo Rudi kwenyu ni chamba wima
Kifolongo, kifolongo Hili jiji lina zizima Oooh...
Aaah...
Kaa weka naki chini Yaani ni uma kama lote Yaani kama lote Kaa
Abadilishwa jina Aitwa sungura tope Sungura tope Nani hamjui kwa
Kuzoa zoa Kipe nyembe Yeye hachagui bomoa bomoa Kibelenge Kwa
Mabachela Hupozwa kimoko(moko moko) Tipa serera Mchanga na
Kokoto(kokoto) Goma la masela Tepe boko boko(boko boko) Ni kanga na
Dera Mambo fogo fogo(fogo fogo) Aaah Kifolongo,
Kifolongo Rudi kwenyu ni chamba wima Kifolongo,
Kifolongo Hili jiji lina zizima Kifolongo,
Kifolongo Rudi kwenyu ni chamba wima
Kifolongo, kifolongo Hili jiji lina zizima Hahaa...
Unapanda lifti ya gari Ya pilipili babu eeh Imemuwashaa...
Siri imevuja Kagonganisha mabwana huyu kimwenu
Anawavuruga Wameandamana wanazembo Kwa kubadili sample Kafanya
Ushindani(kala fala) Iwe dampo ama bababarani(kwa dala dala) Akupa
Utakacho, Hata kwenye majani(kwenye jalala) Ulicho nacho yeye
Anakwara Aaah Kifolongo,
Kifolongo Rudi kwenyu ni chamba wima Kifolongo,
Kifolongo Hili jiji lina zizima Kifolongo,
Kifolongo Rudi kwenyu ni chamba wima Kifolongo,
Kifolongo Hili jiji lina zizima [Khadiha Kopa] Hahaa...
Umeonapi Kutwika pulika si mapapasha Umeula huu...
Haya msogode, msogode mchomoe Mwana nyungu kalilia mzinga si
Wake Mkokote, mkokote mbomoe Mwana nyungu kalilia mzinga eeeh.
Aah...
Pembe hilo pembe hilo La ng'ombe hilo Pembe hilo pembe hilo La
Ng'ombe hilo Lawamaliza waganga(pembe) Mikuki kutwa kupunga(la
Ng'ombe) Singeli mara jaranga(pembe) Imemponza kiranga(la ng'ombe)
Anagombea mgomba(pembe) Mandizi hajaipanda(la
Ng'ombe) Mashua la haso kibanda(pembe) La ng'ombe Hahaha...
Waso haya wanamjua Namjua huko Hata viwanja havijapimwa Umekuja mjini
Na jembe Na si utalima lami baba Wenzio tuko tangu enzi za tobwa
Wewe umekuja umerogiwa na soda Umeangukia pua babu wee Hahaha...



Writer(s): Khadija Kopa, Lava Lava, Mbosso, Rj The Dj


Rj The Dj feat. Khadija Kopa, Lava Lava & Mbosso - Kifolongo (feat. Khadija Kopa, Lava Lava & Mbosso) - Single



Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.