paroles de chanson Kijiwe Nongwa (feat. Nay Wa Mitego) - Rostam
Is
another
one
Take
five
now
Alikuja
kama
masihi
tukamchangia
sadaka
Tukamuona
nabii
alieshushwa
siku
ya
pasaka
Tukamtolea
na
zaka
ili
kanisa
alijenge
Ehee
na
bado
akamlaza
muhumini
kifo
cha
mende
Hivi
unamkumbuka
babu
Babu
wa
loliondo
Ahaa
yule
mfugaji
mwenye
bleach
ya
kikongo
Watu
wamekufa
watu
wamefungwa
watu
wamepoteza
biashara
Sawa
uchaguzi
umekalibia
amerudi
chama
tawala
Vipi
Dada
yetu
wa
igunga
simioni
udangaji
Ahaa
mbona
ameshapata
mchumba
sio
vibeniteni
wazamani
Yule
Fundi
geleji
chawa
si
kamteka
bibie
Na
wamefungua
magahawa
yani
wote
mama
ntilie
Na
kuna
demu
aliachiwa
mtoto
na
akaolewa
na
mtoto
Akaachana
na
mtoto
na
Akabaki
anamlea
mtoto
Izi
ndoa
za
mjini
bwana
zinasikitisha
Ehee
zinafungiwa
chumbani
na
zinavunjikia
insta
Soka
la
bongo
linakwama
wapi
tff
maana
take
nini
Tanzania
football
felia
ndio
nacho
jua
Mimi
Unamfukuzaje
amunike
ili
uzaifu
wenu
muufuge,
Wakati
mlimpeleka
mlevi
je
akacheze
namba
ya
mkude
Sema
leo
akilali
kipolo
imeisha
kuwa
kelo
Ukuta
tunavunja
kwa
tindo
Wameisha
pogwa
guu
wako
dolo
na
Kiki
za
kikolo
majita
tushapiga
kishindo
Ili
ni
fagio
la
chuma
linang'oa
visiki
safisha
vichaka
kwa
moto
Simba
kageuka
duma
jangwani
aipitiki
ukitufata
we
to
a
moko
Malehemu
walimsema
mnyonyaji
sawa
mziki
una
maziwa
Sawa
Mungu
kamuitaji
na
bado
aujafanikiwa
Hivi
unazani
ndani
ya
mjengo
nani
ataliziba
pengo
Acha
maisha
yaendelee
jasili
ameumaliza
mwendo
Alie
okota
almasi
alikua
miss
Tanzania
Na
aliekuja
inunua
dukani
ni
mganda
mwenye
nia
ya
dhati
ila
hapa
Kati
wakatokea
maharamia
kawatumia
Ila
mwamba
ninyanyasaji
wa
kijinsia
Sa
sikiza
man
Yeah
Vipi
shem
mama
Ivan
Aa
tupotupo
tu
ila
atupo
kama
zamani
Nawe
vipi
kwani
mbona
wife
simuoni
nyumba
Hey
chil
man
sina
majibu
Dill
dine
Bungeni
dairy
majanga
viingozi
wameishiwa
mada
Ivi
mbunge
wako
wa
tanga
hoja
sake
unazisikiaga
Sawa
nitazisikiaje
na
Nina
sipika
mbovu
za
Wanakijiji
ila
Fundi
wao
anakuja
soon
kutoka
uberigiji
Mabii
Tito
na
Dr
shika
tiyari
wamesaauliwa
Mwenzao
mariam
biliani
anapika
na
anapakuliwa
Bongo
bwana
ndio
nchi
inayo
sapoti
sana
ujinga
Utashangaa
Ambaruti
kala
shavu
ubarozi
wa
kinga
Yalio
semwa
yamesamwa
Kazi
kwenu
mlio
zoea
ketema
Wakitaka
tuyajenge
tena
Mwambie
muda
sio
rafiki
mwema
Heyi
yeyeyeheeee
Kusema
kweli
atuchoki
na
kwenda
jela
atuigopi
Tutabanana
ata
kama
apatoshi
Atupindishi
ata
kwa
nyuma
Sema
leo
akilali
kipolo
imeisha
kuwa
kelo
Ukuta
tunavunja
kwa
tindo
Wameisha
pogwa
guu
wako
dolo
na
Kiki
za
kikolo
majita
tushapiga
kishindo.
Ili
ni
fagio
la
chuma
linang'oa
visiki
safisha
vichaka
kwa
moto
Simba
kageuka
duma
jangwani
aipitiki
ukitufata
we
toa
moko
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.