Shetta - Hatufanani (feat. Jux & Mr Blue) paroles de chanson

paroles de chanson Hatufanani (feat. Jux & Mr Blue) - Shetta



Elimu ya mjini ndo imentoa kwenye bench
Na game nalisakata ka vita haviniwezi
Sina nyendo za pupa Ku hustle nsha graduate
I′m the man tena supa kwa kuchakachua cash
Good time kila siku hela nyingi zipo bank
Balance kama mangi hazinivuki hizi rank
Kuogopa na kushoboka sawa na kujitia doo
So fara kwa mamito ukisimamia show
Homeboy ngumi za nini hujaja ku make Dow
Ofcourse sheta De she sheta zaidi ya commercial
Napojaribu niki fail ujue nina plan b
Na plan b nshachunga mila ni Pipi mpaka D.B
Maseke elf Tisa mia Tisa tisini na Tisa
Makolo wabaki wao tuu manyoka kibisa
Mi so mjinga kabisa nina exposure ya maisha
I can push.push it ila kuvuta nasitisha kwani
Wanataka tufanane hatufanani nao
Habari zetu wanazo hatuzijui zao
Stori zetu wanatoa kwa Dada zaoo
Na wao wanasoma kwenye mitandao
Ooooh oooh
Wanaforce tufanane nao
Oooh oooh
Hatutaki kufanana nao
Brother man yupo club analewa ameyumba
Star nipo site najenga majumba
Nishajua Unachagua right au pumba
Nimekua nishajua mungu sio ndumba
B*tch be humble huez kua kimada
Hujui kukatika bas changia hata mada
Write our deal check badder
We go harder chillin with the bling bling style kama gucci and prada
Mpaka mkiniona mseme
Shikamoo baba
Yeah I give you some more Dada
Old school kama vile peter mo brother
Change style hauwezi change roho saba
Mdudu roho shada Dada sugua gaga
Mwizi we kaba
Mi na haba haba na haba haba
Nimejaza kibaba
Wanataka tufanane hatufanani nao
Habari zetu wanazo hatuzijui zao
Stori zetu wanatoa kwa Dada zaoo
Na wao wanasoma kwenye mitandao
Ooooh oooh
Wanaforce tufanane nao
Oooh oooh
Hatutaki kufanana nao
Wanataka tufananae hatufanani nao
Habari zetu wanazo hatuzijui zao
Stori zetu wanatoa kwa dada zao
Na wao wanasoma kwenye mitandao
Oooohooooo wanaforce tufanane
Oooho ooh ooooooo Hatutaki kufanananao
Wanyama watatu wameacha mbuga
Mji unakazi



Writer(s): Nurdin Bilal


Shetta - Hatufanani
Album Hatufanani
date de sortie
08-12-2018




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.