Wakadinali - Karibu Eastside (Sudough Doss) paroles de chanson

paroles de chanson Karibu Eastside (Sudough Doss) - Wakadinali



Kali mmh
Waah!
Twende nayo tuskie inakujaje
Na unaniona (yeah) vile hio story iko sawa sindio?
Twende basi
Hey wah! Hey
I say Maybrell you killed this track (waah yeah, hey)
Your one and only number one nimekuja
Golden hand kitu gani nimeguza?
Blood short Timo come nimevuva
Siezi rudi wrong turn najituma
Anytime wakizima tunawasha
Kulegeza siwezi ata nikitaka
We can't take it hio ujinga tuliwacha
Vako za mayai, sisi tuko juu ya butter
Bei inapanda ni ngumu kushuka
Haingi wana try kunisuka
Siezi acha biz ikagonga ukuta
Fresh air hapa ni ganji tuna nusa
Tuki pull up tunakujanga na rosa
Ndani ya nyumba huwa ni ngumu kunikosa
Hakuna siku tutasema imetosha
(R-r kawaida ni kuzoza)
Never been better, never been this nice
Need to get fight when you live this life
Limit the sky karibuni east side
Toto figure number nane with an angle waistline
Never been better, never been this nice
Need to get fight when you live this life
Limit the sky karibuni east side
Toto figure number nane with an angle waistline
Ni si hulost tukipiga corner moja
Hatupendi beef, nyama ni mboga
Zetu ni mandazi kwa duka na soda
Si rahisi, kulalisha order
Brown bag utadhani ni kahawa
Checkin' on me ati kama niko sawa
So, sick ati wanasema niko dawa
Only down for the money and the power
Utatupata farm bado tunalima
Polepole yani tunajenga jina
Get busy wasiseme tuna pima
Kunarada transmitter ikizima
Hakuna leftover tukimanga dinner
Si hukata keki tukiwa na ngima
Wanajuwa moto sawa na stima
(Kawaida yetu ku simama wima)
Never been better, never been this nice
Need to get fight when you live this life
Limit the sky karibuni east side
Toto figure number nane with an angle waistline
Never been better, never been this nice
Need to get fight when you live this life
Limit the sky karibuni east side
Toto figure number nane with an angle waistline



Writer(s): Bryan Nalika Kasuti


Wakadinali - $£€K
Album $£€K
date de sortie
18-01-2023




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.