Wakadinali feat. Kitu Sewer & Sewersydaa Mkadinali - Si Kupenda Kwetu (Sudough Doss) paroles de chanson

paroles de chanson Si Kupenda Kwetu (Sudough Doss) - Wakadinali



Wah, si kupenda kwetu, si kupenda kwetu
Si kupenda kwetu kujikaza inabidi, tryna get busy kila siku ya wiki
(Si kupenda, si kupenda, si kupenda)
(Ki-kila, kila siku ya wiki)
Thought it would be easy nikifika jiji, lakini nikipata
Mapambano si rahisi
(Thought it would be, thought it would be easy, pata mapambano si rahisi)
Si kupenda kwetu kujikaza inabidi, tryna get busy kila siku ya wiki
(Si kupenda, si kupenda, si kupenda)
(Ki-kila, kila siku ya wiki)
Thought it would be easy nikifika jiji, lakini nikipata mapambano si rahisi
Ukiipenda sana utaikinai, ukijianika sana pia watakuchai
Heri uieke underground iitwangwe mine
Yuh huniudhi kuona waafrika weusi wakijideny
Kwenye tembe za whites na matie and dye
Hata kijana mdogo anatry kunishow ati hi ni Nai
Ati nigrow up, na the other day joh night
Walipatikana na mkia ya neighbour walikua wameisanya
Wakipatikana plain sight, sai mororo ndio dite
Hakosangi roho lawyer wake amechoka kufight
Appeal after appeal na jajiko alidai zae
Labda hatupo 25 ama ikue life, ni kweli
Enyewe hio violence haizai anything labda bye bye
Relapse after rehab, refund hakunanga
Piga seat-ups, toa hiccups unda space zingine za silaha
Genocide sina, zana za ki nuclear nacome na vina
Usitajarie nikue perfect ka miss bina
Usinchukie ju ya rhythm na the fact that niko addicted na mziki na hio bizna
Si kupenda kwetu kujikaza inabidi, tryna get busy kila siku ya wiki
(Si kupenda, si kupenda, si kupenda)
(Ki-kila, kila siku ya wiki)
Utatupata street tukisaka unga ya keki
Track ikiharibika hakuna spare hakuna breki
Why are we overtaking, offer akija ni jeki
Tulidhani ni easy, kila siku ni heavy
Kumbe buda ni kesi, kesi zenyewe petty
Juzi ilikua ni tasty, leo vitu ni shakey
Iswa we paper chase, sai hata sicheki
Mchezo hapa hatuleti, ukicheza tunakuteki
Sai hawacross boundaries kuna wall
Wanawonder how empire zinafall
Yaani how, things zina unfold
Hakuna mass, stone bado zinaroll
Bila hesitation tuna kamilisha proper
So fast, wanaingia tukitoka
Bado tunaskuma hata kapunda amechoka
Get closer upate kuuma offer
Si kupenda kwetu kujikaza inabidi, tryna get busy kila siku ya wiki
(Si kupenda, si kupenda, si kupenda)
(Ki-kila, kila siku ya wiki)
Mtu mzima ka mimi nkatoka Karatina
Kuingia Nairo kusaka dinner, nkalink up na Roba
Stoller nkajiarrest for life na mama pima
Namkatia mbele ya maarif wake simvuti kando
OG hakuna stand off na GK am humble
Una bahati tuko leo, ingekua kitambo
Ungeingiwa ukapi ju ya ka poko campo
Am the new sheriff in town niite Moreno
Still station ju ya ten bob, hapo rotejo
From KE sent to S.A at a maximum speed
Niko like fuck NTSA, siste ka unaishia si uishie ka unastay si ustay
Last time kitu ulinifanyia ilinipeleka right stenje
Kanairo unajua hatupandi miti, si hatupandi si hupanda buildings
Heri ya wajanja pali ukiibiwa unareport kwa mwizi
Ni usaidiwe ama pia unaweza doz kamiti
Bado kwa mbao bila mbao na tunabond na mili
Si kupenda kwetu kujikaza inabidi, tryna get busy kila siku ya wiki
(Si kupenda, si kupenda, si kupenda)
(Ki-kila, kila siku ya wiki)
Thought it would be easy nikifika jiji, lakini nikipata
Mapambano si rahisi
(Thought it would be, thought it would be easy, pata mapambano si rahisi)
Si kupenda kwetu kujikaza inabidi, tryna get busy kila siku ya wiki
(Si kupenda, si kupenda, si kupend)
(Ki-kila, kila siku ya wiki)
Thought it would be easy nikifika jiji, lakini nikipata mapambano si rahisi



Writer(s): Bryan Nalika Kasuti, Salim Ali Tangut


Wakadinali feat. Kitu Sewer & Sewersydaa Mkadinali - $£€K
Album $£€K
date de sortie
18-01-2023




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.