YDNW DIve - True Love paroles de chanson

paroles de chanson True Love - YDNW DIve



Kusema ukweli ma, mi nimefika.
Siwezi danganya, acha nikuite future.
Usinipe penzi lakuandika na kufuta
Nipe penzi nikianguka waniokota.
Mapenzi sio pombe lakini yanalewesha
Wala sikidonda lakini yanatonesha
Wala simaradhi lakini yanaumiza
Wala sinjaa lakini yanakondesha
Panzi langu siomate kila mtu alipate
Wala siomkate wakashiba watu wote
Nampa nimtalaye ashindae wote
Mi sikuachi napenda tuwe wote
Sio penzi lakuandika tena nilifute
Ni penzi lakuaaguka tena nikuokote
Naomba unizalie nawatoto wote
Nasema tufurai wote
Ohhh, ohhh!
Karibu kwenye moyo wangu
Njoo nikupe true love
Unachotaka utapata
Njoo nikupe key to my crib
Believe, me nitakupa true love
Sio vitu ya mitanni I mean the real love
Wawili tujenge siri, today by tomorrow tuanza fanana.
Alfu tutoke, picha moja mbili tukipost insta
Snap chat weka filter, wanao tuisi wabaki macho kodo
Nakuahidi autakua bored, party after party kila Friday's!
Saturday Netflix and chill, kwenya ghetto tuna piga music tuna chill
Ukuminahisi penzi fulani, mamalama penzi lakini ni latari



Writer(s): Sadiki Asumani


YDNW DIve - True Love
Album True Love
date de sortie
11-05-2021




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.