Young Dee - Tunapeta paroles de chanson

paroles de chanson Tunapeta - Young Dee



Miaka nimekuwa chini
Sa sijui utaniambia nini
Nimekuwa najua nini
Chakufanya ili niwin
Ah ah
Natesa napeta hadi vijijini
Sio hiphop tu i can do kiduku too
Naanza nikiinua miguu kama kangaroo
Dogo niliemtuma dukani
Karudi na mangi nyumbani eti ile hela nilompa ya zamani akaitupa jalalani kama wajua fumbo hili niambie lina maana gani. Tunaaaaa petaaaa Tunaaaaa tesaaaa Tunaaaaa petaaaa Tunaaaaa tesaaaa Tunaaaaa petaaaa Tunaaaaa tesaaaa Mziki umenoga hakuna kuogopa escape to the dance flow.




Young Dee - Rock Star
Album Rock Star
date de sortie
05-11-2015




Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.