paroles de chanson Announcement (Freestyle) - Young Lunya
Tatizo
ni
pale
ambapo
ananiona
Na
wana
kibao
utadhani
ni
jeshi
Nakuaga
na
piece
kazi
yao
ni
kucheka
Hata
kama
kuna
kitu
hakichekeshi
Unajitangaza
una
beef
na
mimi
Wakati
level
zako
za
kina
Tekashi
Vijembe
vyenu
havinikondeshi
Nishawalenga
na
huwa
sikopeshi
Wats
poppin?
Ona
kama
vile
ukikaa
kwenye
beat
haunati
Mbona
naskia
mtaani
kwako
we
ni
bonya
Unakaaga
na
piece
na
ung'ati
Pia
nimesikia
we
ni
msee
Wa
kugongea
gongea
jiti
au
bati
Bahati
haupati
nakuwaga
na
manoti
Kama
vile
niko
team
ya
Hush
Puppy
Toa
utakavyoweza
babangu
Ila
mimi
huwezi
kunitoa
Michano
ni
mahesabu
madogo
Hata
yakiwa
makubwa
tunakopotoa
Naanza
za
vipi
kuwahudumia
Na
mshaanza
kunyeni
napokojoa
So
wamekuleta
nitakachofanya
Nitakurudisha
walipokutoa
I'm
killing
these
rappers
nikiwa
my
zone
Na
tupo
wengi
mimi
ni
wa
more
zone
Madebe
mjini
wanataka
more
Nakiwapa
more
wanachona
poni
Mi
OMG
nitazame
usoni
Ni
OMG
imefanya
unione
Bro
OMG
ni
kitega
uchumi
So
OMG
tunarudi
soon
Kwanza
nawakera
wana
boss
Papi
zao
nipo
ringtone
Nikiona
unaelekea
kunijua
sana
Na
sikufahamu
sipokei
phone
Na
nikiona
mnajifanya
mnachana
sana
Kwa
kizungu
nawaitia
Conii
Kwa
kiswahili
pambano
hakuna
Nawafinya
nawatia
mfukoni
Najimaintain
hata
mimi
mwenyewe
ni
gang
gang
(Put
your
head
on
my
shoulder
Put
in
my
hand
baby
What
I
want
you...)
Haunikosi
kwenye
top
20
Kuwa
zombie
ili
ukae
20
Dunia
ina
mambo
ndo
ilivyo
Navimba
sana
ndo
nilivyo
Wamekuwa
inspired
na
mimi
though
Saa
hivi
wananidiss
ati
here
we
go
I
don't
really
know
what
is
by
(That)
Kisa
nachana
kwa
maringo
Na
kunipata
hamnipati
ng'o
Mngejua
mngefanya
bolingo
Wanajua
fika
mziki
ni
mnene
Ila
bado
bado
wanajitutumua
Wengine
washasema
sitofika
mbali
Kisa
tunashine
na
nishawajua
Mambo
ya
ajabu
nakaza
kusuka
Mipango
wanataka
kuifumua
Masihara
leta
ata
kwa
wife
Ila
kwenye
kazi
nitakupasua
African
gut
I
be
killing
them
sha!
Wakija
mapema
nawakalisha
sha!
Kuhusu
masinema
mi
ni
nguli
haswa!
Piga
kwenye
ulimbo
kanasa
Mnanifananishaga
na
nani
sasa?
Vimba
oh
mpaka
tupige
msasa
Ukinipenda
tunaenda
sawa
sawa
Ukinichukia
si
basi
sasa
Maana
binadamu
anaweza
akakupenda
Ukiuliza
sababu
hakuna
kwa
nini?
Ukiwa
mwanangu
afu
uko
unapenda
sana
Mambo
ya
watu
nakupiga
chini
Wanarundikana
wakikosa
kazi
Wanadiscuss
nitachuja
lini
Kuna
vitu
vya
kuviweka
bank
Na
kuna
vitu
vya
kuweka
akilini
Baadhi
ya
watu
wanakuwaga
wanoko
Je
hata
ukimwona
anakununia
Ndo
yale
mambo
unakuta
DJ
Hapigi
ngoma
zako
na
anakuvimbia
Nimeshazoea
kupondwa
mgongoni
Japo
wakiniona
wananisifia
Najivunia
kuwa
mTanzania
Na
hii
ndo
local
package
ya
dunia
We
outchea,
in
the
source
winning
team
baby
Kapo,
Sheshe,
Petty
Madi
rasta
Tajiri
Abass...
77_
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.