paroles de chanson Shangilia - Zuchu
Ayolizer
Kibe,
Kibe
(Kibee)
Kibe
ni
mshindi
mwingine
(Kibee)
Kibe
kutoka
CCM
chama
Sio
chama
kingine
(Kibee)
Kibee
Kibee
(Hee!
Kibee)
Ameshinda
mwingine
Kutoka
chama
kubwa
chama
Sio
chama
kingine
Oooh!
Wazanzibar
(Shangilia
shangilia)
Hussein
Mwinyi
(Rais
Kashachangulia)
Kwa
hii
hali
yetu
Aendeleze
ilani
ya
chama
Zanzibar
yetu
Ye
kaja
kuinyanyua
Hussein
Mwinyi
Mikono
salama
Ye
ataendeleza
mazuri
yake
sheni
Utawala
bora
Utawala
bora
uchumi
na
amani
Kwa
bashasha
Natamka
Hussein
Mwinyi
Rais
wangu
Sijalazimishwa,
sijashurutishwa
Nimemchagua
kwa
kura
yangu
Oooh!
Wazanzibar
(Shangilia
shangilia)
Hussein
Mwinyi
(Rais
Kashachangulia)
Mchapa
kazi
mzalendo
Mlinzi
wa
muungano
wetu
Wanamapinduzi
yetu
Hongera
rais
wetu
Rais
nani?
Rais
Nani?
Ni
hussein
Mwinyi
Hatoki
Ikulu
Mpaka
miaka
kumi
Eeeh!
Zanzinbar
daima
mbele
Kwa
bashasha
(Kwa
furaha)
Natamka
(Natamka
mimi)
Hussein
Mwinyi
rais
wangu
Eeh!
Hongera
Rais
wangu
Sijalazimishwa,
sijashurutishwa
Nimemchagua
kwa
kura
yangu
Oooh!
Wazanzibar
(Shangilia
shangilia)
Hussein
Mwinyi
(Rais
Kashachangulia)
Attention! N'hésitez pas à laisser des commentaires.