Текст песни Kheri - ALIKIBA
(Oh,
yeah-ah,
mh)
Yeah!
Mocco
Sina
vya
kuigiza,
all
eyes
on
you
(all
eyes
on
you)
Kupenda
kupitiliza,
and
you
know
that's
true
Ah,
kukupata
miujiza
baby,
you
girl
Umenituliza
roho
(umenituliza)
Ah,
natamani
hii
dunia
ingekuwa
yako
Moyoni
nimekuhamishia,
kaa
peke
yako
Toka
zamani
ningekujua,
ningekuwa
wako
Moyoni
nimekususia
kaa
peke
yako
Kheri,
kujuana
nawe
baby,
uh
Kheri,
kujuana
nawe
baby,
baby,
ih
Kanikamata
kwenye
koo,
ananiliwaza
kwa
roho
(kwa
roho,
kwa
roho)
Oh,
mahaba
shikamoo
yamenilemeza
kwa
roho,
roho,
oh
She
is
my
darling,
she
is
my
darling,
she
is
my
darling,
yeah
Mtoto
mzuri,
nashow,
show
hatari,
show
hatari,
show
hatari,
eh
Ah,
natamani
hii
dunia
ingekuwa
yako
Moyoni
nimekuhamishia,
kaa
peke
yako
Toka
zamani
ningekujua,
ningekuwa
wako
Moyoni
nimekususia
kaa
peke
yako
Kheri,
kujuana
nawe
baby,
uh
Kheri,
kujuana
nawe
baby,
baby,
ih
Kheri,
khe-khe-kheri,
ri-ri,
khe-khe-kheri
The
Mix
Killer
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.