Текст песни Nahodha - ALIKIBA
Yeah!
Yeah,
baba
(Mafeeling
make
it)
Najiona
wa
ajabu,
eh
Nikijitazama,
hivi
naota,
ah,
ama
nachanganyikiwa?
Joto
nalo
lashuka
degree,
waliniliza
TBT
Na
moyo
wangu
nishakupa-na
Na
wewe
ndio
nahodha
wa
meli
yangu
Huhitaji
CV,
oh-oh-oh
Atukinge
Ya
Ilahi
tuwe
salama,
ah
Atuepushe
na
mabaya
ya
wengine
Maana,
najiona,
nachanganyikiwa,
oh,
nyikiwa
Ndama,
nanona,
nanyonyeshwa
maziwa,
oh,
maziwa
Ah!
Kama
mapenzi
ni
Jihad,
tuko
peponi
Kwa
jinsi
tulivyopambana
na
hali,
yetu
rohoni
Kuna
vijiba
vya
nafsi
wale
waroho,
oh,
waroho
Wanaosubiri
tuachane
hata
kesho,
sisi
bado
Sisi
bado
Oh-oh-oh
Oh,
sisi
bado,
kuachana
sisi
bado
Sisi
bado,
oh,
oh,
oh,
ooh,
woah
Sisi
bado,
oh-oh
Kwani
na
wewe
ndio
nahodha
wa
meli
yangu
Huhitaji
CV,
oh-oh-oh
Atukinge
Ya
Ilahi
tuwe
salama,
ah
Atuepushe
na
mabaya
ya
wengine,
yeah
Maana,
najiona,
nachanganyikiwa,
oh,
nyikiwa
Ndama,
nanona,
nanyonyeshwa
maziwa,
oh,
maziwa,
o-ho
(The
Mix
Killer)
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.