Текст песни Bembea - Aslay feat. Alikiba
Yooh
Yop
Na
na
na
na
na
naa
naaah
Oh
oh
ooh
It's
new
Aloneym
Wapi
unawaumizaga
niambie
tuwakomeshe
Tuwakomeshe
vishada
wavimbe
wateseke
We
nipende
tu
nipe
na
nyota
nitembelee
Wachawi
vigagula
baby
tushikane
tuwakemee
We
ni
dokta
mi
mgonjwa
ndomaana
nikikuona
mwenzako
ninapona
Umenijaa
akilini
ndomaana
nakutaja
mwenzako
kila
ngoma
Baby
tuifiche
hiyo
siri
Tusionyeshe
dhahiri
Wanga
wanasubiri
waone
utavyonimwaga
Wambili
awe
mbili
wakwanza
tuwe
wakweli
Aah
natakata
takata
natakata
na
penzi
lako
Na
nitadata
nitadata
ukininyima
hicho
ulichokuwanacho
Naridhika
ridhika
naridhika
na
huba
lako
Nakuahidi
nitakufa
nikija
kulikosa
hilo
penzi
lako
Bembea
mahabuba
bembea
oooh
Bembea
nakuruhusu
ning'inia
kwenye
moyo
wangu
Bembea
laazizi
bembea
ooh
ooh
ooh
Bembea
mwenzako
nasikia
raha
sana
Nasi
tunazima
data
Simu
zao
tunakata
Tugandane
kama
mapacha
wawili
wawili
wakeleke
kamili
Yooh
Ulivyomtamu
raha
tele
sukari
usiongeze
Ujuzi
unao
uzuri
unao
nashiba
mahaba
nilegeze
eh
Aaah
ukinigusa
unasisimua
Mjanja
bingwa
wakusasambua
Umeniweza
mtoto
wakishua
Shida
zangu
zote
unatatua
Ndio
maana
nakupenda
palipoufa
tujenge
Usisikize
wapambe
we,
we
nipende
nikupende
Na
ndio
maana
nakupenda
Baby
tuifiche
hiyo
siri
Tusionyeshe
dhahiri
Wanga
wanasubiri
waone
utavyonimwaga
Hey
wambili
awe
mbili
wakwanza
tuwe
wakweli
Wambea
wanasubiri
wapate
chakusemaga
Bembea
bembea
unawamaliza
Bembea
wakose
chakusemaga
kula
kutafuna
Bembea
bembea
unawamaliza
Bembea
wakose
chakusemaga
kula
kutafuna
Na
na
le
le
wale
Oh
ooh
yei
yeeih
Oooh
ooh
Ooh
oh
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.