Aslay - Wife текст песни

Текст песни Wife - Aslay



Ooh gagaa
Wife we, wife material kipenda roho
Chekecha weka kwa chujio maneno yao
Waambie umeshikwa umedata na mimi oh, mtoto show
Tuwavunje mifupa tuwakate vilimi oh, waumie roho
Nitakonda (ahaa), ukiniacha mbele za watu (ahaa)
Nitachoka (ahaa), kuficha mapenzi chini ya kiatu (ahaa)
Usipunguze ongeza, pakavu natelezaa
We pekee unaniweza niongeze mchuzi wa pweza ninywee
Baby ooh, baby
Baby ooh, baby
Baby ooh, baby
Ubavu wangu wa pembeni
Chokochoko (baby eeh)
Laka laka chokochoko (kidume mashine)
Chokochoko (ooh na na)
Laka laka chokochoko (matam tam tam)
Chokochoko (woooh)
Nasihongi hata buku (eeeeh)
Hii, ni maruhani au masubiani
Yakikupandaga kichwani
Vurugu tupu kitandani, oh gaga
Mtoto show, rangi ya jogoo
Mi ndo Shiza Kichuya kwenye mechi tukikutana lazima nishinde goal
Mmmh, nakupenda ukipitisha ulimi kwenye sikio
Ukinipapasa kifuani nakupa vyeo
Babu Juma akicheza kwakwaru we ni kilio
Ukinipa mate vinatokaga vinyweleo, mwilini
Nitakonda (ahaa), ukiniacha mbele za watu (ahaa)
Nitachoka (ahaa), kuficha mapenzi chini ya kiatu (ahaa)
Usipunguze ongeza, pakavu natelezaa
We pekee unaniweza niongeze mchuzi wa pweza ninywee
Baby ooh, baby
Baby ooh, baby
Baby ooh, baby
Ubavu wangu wa pembeni
Chokochoko (baby eeh)
Laka laka chokochoko (hii only you)
Chokochoko (ooh na na)
Laka laka chokochoko (matam tam tam)
Chokochoko (woooh)
Nasihongi hata buku (eeeeh)
Only you (wewe)
Baby only you (baby wewe)
Utafanya nikuroge nishike kivuli (matunguli baby)
Only you (eh)
Baby only you (baby eh)
Utafanya nikuroge nishike kivuli (mairizi baby)



Авторы: Aslay Isihaka Nassoro


Aslay - Wife
Альбом Wife
дата релиза
22-07-2019

1 Wife




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.