Текст песни Baby - Aslay
Unazima
simu
yako
ukiwa
na
mimi
Nimesha
kua
mume
wako
hasira
za
nin
Tena
upungze
vituko
tukiwa
chumbani
Mendokama
baba
yako
nilo
kuweka
ndani
Hee
Habari
zako
nazi
pataga
Minabakitu
me
naumia
Una
nitukana
uki
lewami
Sina
kitu
naki
bamia
Natamani
nije
kukumwaga
Ila
siwezi
nitaumia
Punguza
vituko
basi
we
dada
Nipate
rahaya
duniaaa
yaya
Baby
basi
Tuliza
yangu
naaafsi
Tuache
utoto
bas
Twende
na
wakatii
Baby
basi
tuliza
yangu
nafsi
Tuache
utoto
basi
twende
na
wakatii...
Kikubwa
heshima
Najua
siwezi
kua
pekeangu
Tunza
langu
jina
mama
Na
uwa
ogope
ma
rafiki
zangu
Nakupenda
sana
Hutaki
kubadilika
we
mwenzangu
Unani
nyanyasa
sana
Kisa
na
linda
hili
penzi
langu
Oh
baby
ogopa
maradhi
Tusije
tuka
ziikwa
mapema
Utani
samehe
kama
me
nakosea
kusema
Habari
zako
nazipataga
Nabakitu
me
naumia
Unanitukana
ukilewaga
Sina
kitu
na
kibamia
Natamani
nije
kuku
mwaga
Ila
siwezinita
umia
Punguza
vituko
basi
we
dada
Nipate
raha
ya
dunia
yaya
Baby
basi
tuliza
yangu
nafsi
Uache
utoto
basi
Twende
na
wakati
Baby
basi
tuliza
yangu
nafsi
Uache
utoto
basi
twende
na
wakaati
Mama
wololo
wololo
Mapenzi
yamekabakoo
kabakoo
Kaja
kunitoa
roho
toa
roho
Kamoyo
kako
mbio
mbio
mbio
Mama
wololo
wololo
Mapenzi
yamekabakoo
kabakoo
Kaja
kunitoa
roho
toa
roho
Kamoyo
kako
mbio
mbio
mbio
Baby
basi
Unaniumiiza
mwenzako
oh
Ooh
baby
basii...

Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.