Текст песни Tete - Aslay
Me
siwezi
kula
mpaka
ale
yeye
Tena
nimlishe
kwa
kijiko
Nyimbo
nimuimbiie,
kama
kuna
joto
Nimpepee,
nimpepeee
Kisha,
nibembeleeze,
nimliwaaze
Na
kama
kuna
kosa
beibee
anieleeze
Nibembeleeze,
nimliwaaze
Na
kama
kuna
kosa
beibe
anielezee
Napigwa
na
jua
mchana
kutafuta
pesa
aje
kulaa
Usiku
tena
twagombana
hivi
kwanini
aninyanyapaa?
Yo
yo
Baaba,
baba
kuandika
talaka
siweezi
Bora
tu
baba
nibembeleze
mapenzii
Sio
poaa,
anavyonifanyiaa,
ila
kinyooonge
saana
yeeh
Navumiliaa
Kama
mtoto
(te
te
te)
mtoto
anavyotembeaa
ye
ye
ye
yeeh
(Deeede)
atabaadiliika
ye
ye
ye
yeeh
(Te
te
te)
mimi
navumilia
ye
ye
ye
yeeh
Yooote
yana
mwisho
wake
ye
ye
ye
yeeh
Hili
ni
penzi
la
kijeshi,
kuruta
nipige
saluti
Kwake,
hata
niwe
msafi
vipi,
makosa
sikosi
Ila
nikipeti
peti,
sijui
labda
nina
nuksi
Yani,
mwenzangu
yeye
hataki,
naambulia
matusi
Ilaa
sijaali,
napandisha
moraali
Ndo
kwanza
naleta
chipsi
na
kuku
na
yaii
Ila
sijaali,
napandisha
moraali
Ndo
kwanza
naleta
chipsi
na
kuku
na
yai
(alee)
Ah,
ah
ah
mchuchu
ninaye
ila
sipati
kituu
uuuuh
Huku
ndo
kupatwa
kwa
penzi
butu
uh,
Nilikula
kofi
nilipompapasa
usiku
Nilipotaka
kufosi
nilichezea
teke
la
huku,
kwa
babu
Eiye
eh,
kwa
babu
Sio
poaa,
anavyonifanyaa
ila
kinyoonge
saana
yeeh
Navumiliaa
Kama
Mtoto
(te
te
te)
mtoto
anavyotembea
ye
ye
ye
yeeh
(Deeede)
atabadilikaa
ye
ye
ye
yeeh
(Te
te
te)
mimi
navumilia
ye
ye
ye
yeeh
Yooote
yana
mwisho
wake
ye
ye
ye
yeeh
Badiliika
dada
badilika,
nakusubiri
bado
Mumeo,
mumeo
eeeh
anakusubiri
bado
Niombee
shemeji
yangu
nampenda
dada
yako
Na
namsubiri
bado
Mwenzie,
mwenziie
eh,
me
nampenda
bado
Zisti
anajua
ninavyouumiia,
huwa
anajua
na
vitu
vyote
nasubiria
Zungu
Baunsa
anashuhudiia,
nikaa
peke
yangu
me
nalia
liaa
eeh.
...
End...

Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.