Avril - Nikimuona текст песни

Текст песни Nikimuona - Avril



Nikimuona eeh
Tumejuana muda mfupi na yeye
Wiki moja au mbili cjui
Nilipomuona nlijua ni yeye
Sababu mi na feel tulijuana milele
Shida moja ni kuwa nikija kwako nahisi sitapata heshima
If i act like a queen he will treat me just like a queen
But if i act so cheap then he will treat me so cheap
Nikimuona eenh
Waweza dhan mimi ni fala
Nikimuona eenh
Thats when my heart skips a beat
Nikimuona eenh
Waweza dhani mimi ni fala
Nikimuona ona ona eenh



Авторы: Avril


Avril - Nikimuona
Альбом Nikimuona
дата релиза
03-11-2014




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.