Baba Levo & Rayvanny - Yes No текст песни

Текст песни Yes No - Baba Levo & Rayvanny



Wangapi wanapenda haya mastory
Wangapi wanataka haya mastory
(Yah!)
(Stukizzy Baby)
(Titer The Best)
Mnataka mastory (Yes)
Tupige mastory (Yes)
Ya ukweli mastory (Yes)
Ntayaleta mastory (Yes)
Ali Kiba kawa Simba (No)
Na Shilole ana mimba (No)
Tena mimba ya Kadinda (No)
Na Kikwete anaimba (No)
Eti Nay ana ghorofa (No)
Navy Kenzo wana ghorofa? (Eeh)
Eti Dully kawa lofa? (Eeh!)
Nauliza kawa lofa? (No)
Diamond ana kitambi (No)
Malaika ana dhambi (No)
Navy Kenzo anavuta bangi (No)
Mmh, havuti bangi (Yes)
Yes, Yes
Yes, Yes
No, No
No, No
Yes, Yes
Yes, Yes
No, No
No, No
Magufuli mnampenda (Yes)
Na Kikwete mnampenda (Yes)
Zitto Kabwe mnampenda (Yes)
Mange Kimambi mnampenda (Yes)
Peter Msechu mnampenda (No)
Hamumpendi? (Yes)
Ila Shetta mnampenda (No)
Eh!, hata Kitale (No)
Watoto mnapenda shule (Yes)
Watoto mnakwepa shule (Yes)
Shule ya msingi mnasoma bure (Yes)
Kila kitu bure (Yes)
Kuna walimu madarasani? (No)
Mnasoma nini? (No)
Hata hisabati (No)
Ubuyu na visheti (Yes)
Yes, Yes, Yes
No, No, No, No, No
Yes, Yes, Yes
Mi napenda mademu wakali
Wenye sura na shepu hatari
Wenye nyumba, magari makali
Wanalindwa na mbwa wakali
Kwa Sepetu nimegonga (No)
Kwa Jokate nimegonga (No)
Giggy Money nimegonga (No)
Na kwa Wolper nimegonga (No)
Ni milango jamani (heh heh eh)
Kalapina ni mlevi (No)
Mnamwogopa ni mlevi (No)
Lina ni mlevi (No)
Si walevi wa muziki (Yes)
Yes, Yes, Yes
No, No, No, No, No
Yes, Yes, Yes
Yes, Yes, Yes
No, No, No, No, No
(Laizer on the mix)



Авторы: Baba Levo


Baba Levo & Rayvanny - Yes No
Альбом Yes No
дата релиза
21-08-2020

1 Yes No



Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.