Текст песни Wrong Number - Barnaba
Una
haki
sikulaumu
na
una
kila
sababu
Kuni-command,
kuniuliza
huyu
ni
nani
Siku-command
mume
wangu
Ila
nalinda
pendo
langu
Upo
ndani
ya
himaya
yangu
Ndo
maana
nina
hofu
na
zao
langu
Mmh
uko
sahihi,
ila
inabidi
uchunguze
kwanza
Ukipata
jibu
ndo
u-panic
Sio
tu
kuwa
unavimba
Hayo
si
maneno
mume
wangu
Kuyanena
mbele
yangu
Unazipelekea
hisia
zangu
Kuhisi
naibiwa
zao
langu
Mmh
basi
baby,
nakupa
message
usome
Na
ukishasoma,
usilalamike
Usini-set
mume
wangu
Nataka
kuipoza
roho
yangu
Suluhisho
la
moyo
wangu
Mpigie
upoze
mtima
wangu
Tusigombane
kisa
message
hiyo
Baby
sijui,
amekosea
namba
Haipaswi
kulalamika
Haiwezekani
tumpigie
Tuweke
loud
speaker
tumsikie
Haiwezekani
akosee
namba
Wakati
wenye
simu
ni
wengi
Tusigombane
kisa
message
hiyo
Baby
sijui,
amekosea
namba
Haipaswi
kulalamika
Haiwezekani
tumpigie
Tuweke
loud
speaker
tumsikie
Haiwezekani
akosee
namba
Wakati
wenye
simu
ni
wengi
Chozi
langu
thamani,
lanitoka
chumbani
Namlilia
nani?
Kama
si
wewe!
Ninajua
ni
hasira,
zikipoa
mpendwa
utaelewa
Hata
maji
ya
moto,
hupoa
mapema
yakipepewa
Usipoteze
lengo
mume
wangu
Wataka
kuzifumba
mboni
zangu
Mpigie
huyo
mwenzangu
Ili
nijue
kuwa
siko
peke
yangu
Mmh
haya
kachukue
charger
yangu
Ipo
kule
kwenye
mkoba
wangu
Ukisharudi
tena
kwangu
Wewe
utafurahi
mke
wangu
Tusigombane
kisa
message
hiyo
Baby
sijui,
amekosea
namba
Haipaswi
kulalamika
Haiwezekani
tumpigie
Tuweke
loud
speaker
tumsikie
Haiwezekani
akosee
namba
Wakati
wenye
simu
ni
wengi
Uuh!
Ona
sasa,
zimefutika
namba
Zimefutika
sms
kwenye
inbox!
Hapana
baba,
umezifuta
makusudi
Mbona
mi
mwanzo
niliziona
kwa
macho
yangu!
Tusigombane
kisa
message
hiyo
Baby
sijui,
amekosea
namba
Haipaswi
kulalamika
Haiwezekani
tumpigie
Tuweke
loud
speaker
tumsikie
Haiwezekani
akosee
namba
Wakati
wenye
simu
ni
wengi
Haiwezekani
tumpigie
(sina
namba!)
Tuweke
loud
speaker
tumsikie
(si
unajua
zimefutika)
Haiwezekani
akosee
namba
(mmh)
Wakati
wenye
simu
ni
wengi
Achana
nayo!
(mmh
sawa
bwana)
Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.