Ben Pol - Walimwengu текст песни

Текст песни Walimwengu - Ben Pol



Ah mwali wa dodoma chotara
Wa Nairobi Kenya
Nitakulinda kwa panga bastola
Wasije ninyang′anya
Vijipesa navyokupa kukuhonga honga
Uvitunze vizuri
Nataka tujichange tununue kagari
Tuwe na usafiri
Na tufanye juhudi
Kiroba cha unga tuwe nacho ndani
Vichenji vikirudi kutoka dukani
Tuweke kibabani
Mchawi anaua alafu analia
Walimwengu jama
Muda nakupotezea, nakuchezea
Utaskia wakisema
Hao walimwengu, hao walimwengu
Hao walimwengu, hao walimwengu
Hao walimwengu, hao walimwengu
Sasa twende kongwa tukatembee
Tutinge moka koti la kitenge
Gauni la maua upendeze
Jioni turudi kwa Itembe
Furaha yetu yawatesa, maumivu kwao
Wanatapa tapa wanakerekwa, wana wivu hao
Wanakaa vikao visivyoisha, imekula kwao
Wanafanya kazi ya kanisa, kudadeki zao
Asa bam bam bam
Kama unainama bam bam bam
Fanya kuchutama bam bam bam
Zishaendana dam dam dam dam
Asa bam bam bam
Kama unainama bam bam bam
Fanya kuchutama bam bam bam
Zishaendana dam dam dam dam
Mchawi anaua alafu analia
Walimwengu jama
Muda anakupotezea, anakuchezea
Utaskia wakisema
(The Mix Killer)



Авторы: Benard Paul Mnyanganga, Thabit Juma Thabit


Ben Pol - Walimwengu
Альбом Walimwengu
дата релиза
03-10-2020




Внимание! Не стесняйтесь оставлять отзывы.